Upinzani acheni agenda ya Urais: Jitahidini kupata viti vingi vya wabunge. Wingi wa wabunge bungeni, wewe ni "RAIS", maamuzi ya ndiooooooooo yatakoma

Upinzani acheni agenda ya Urais: Jitahidini kupata viti vingi vya wabunge. Wingi wa wabunge bungeni, wewe ni "RAIS", maamuzi ya ndiooooooooo yatakoma

Upinzani, Urais muachieni Magufuli, nguvu zote zipeleke kupata wabunge wengi bungeni, mtakuwa na maamuzi mazito ya nchi hii. Kimfumo nyinyi mtakuwa "Rais" maana hakuna maamuzi unconstitutional atayafanya ambayo yatapita!

Hakuna sheria mbovu zitapita etc. Demokrasia ya kweli itatamalaki maana hata impeachment itawezekana na hatakuwa tayari to undergo impeachment kwa kuvunja Katiba/sheria!
Kwan CCM hawalujui hilo upinzan kuwa na wabunge wengi hilo haliwezekan narudia tena hilo haliwezekan
 
Wapinzani wao kwa wao wanapingana chama kwa chama na viongozi kwa viongozi ndani ya chama.
 
Back
Top Bottom