- Thread starter
- #21
akivunja bunge hawezi maana naye hana uhakka wa kurudi, si rahisi kihivyo!Kabla hamjamaliza impeachment anavunja bunge. Mtamfanya nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
akivunja bunge hawezi maana naye hana uhakka wa kurudi, si rahisi kihivyo!Kabla hamjamaliza impeachment anavunja bunge. Mtamfanya nini?
Ikija siku hiyo then TZ is liberated!Ipo siku na haiko mbali. Watu hawataogopa risasi wala mabomu
Kwan CCM hawalujui hilo upinzan kuwa na wabunge wengi hilo haliwezekan narudia tena hilo haliwezekanUpinzani, Urais muachieni Magufuli, nguvu zote zipeleke kupata wabunge wengi bungeni, mtakuwa na maamuzi mazito ya nchi hii. Kimfumo nyinyi mtakuwa "Rais" maana hakuna maamuzi unconstitutional atayafanya ambayo yatapita!
Hakuna sheria mbovu zitapita etc. Demokrasia ya kweli itatamalaki maana hata impeachment itawezekana na hatakuwa tayari to undergo impeachment kwa kuvunja Katiba/sheria!
Haya sawa.akivunja bunge hawezi maana naye hana uhakka wa kurudi, si rahisi kihivyo!