Tetesi: Upinzani baada ya kuruhusiwa mikutano ya hadhara wamepewa maelekezo kuchafua legacy ya hayati John Pombe Magufuli

Hii ni shariti kubwa kabisa na lenye nguvu kabisa katika serikali ya awamu ya sita ambapo upinzani kazi moja waliyopewa ni kusifia maridhiano huku wakichafua uongozi wote wa JPM.

Tayari maelekezo hayo yameshaanza kufanyiwa kazi katika mkutano wa chadema uliofanyika jijini Mwanza. Hata ACT-Wazalendo wameelekezwa hivo ingawa siyo wote wanaokubali shariti hilo la mikutano ya siasa hata CUF na wao wamepewa maelekezo hayo lakini miongoni mwao wanapinga maelekezo hayo kwa kuwa kazi za JPM zinaonekana kwa wananchi.

Upinzani kama wamechukuwa kama agenda yao kuu ya kutukana uongozi uliopita wa JPM wajue kuwa wapo ambao hawatawaelewa labda wavuta bhangi ambao hawafatilii mambo ya nchi.

Nawatakiwa jumapili njema.
Mkuu tulikubalianaje humu? Marehem aachwe apumzike!! Legacy legacy legacy.. mwalim ametuachia legacy Tanzania na Africa in reality!!
 
Chadema mimi nawasihi mjikite kwenye hoja zenye mashiko sasa hivi hali ya maisha ni ngumu kuwahi kutokea ! miradi mungi imesinyaa mukopo imekopwa haiekweki imefanya kazi gani .
 
Unawaza kitoto sana. Yaani CDM leo imekuwa ya kupewa hoja ya kutembea nayo? Utapata pressure tu bure. Wana haki ya kuhoji na kueleza hisia zao mradi tu hawavunji sheria. Kama kwa kufanya hivyo wanajimaliza, nadhani hiyo ni fursa yako kufurahi.
Usirukie hoja ndio maana tunazungumzia Uwezo wa kiakili elewa andiko alafu challenge.nadhani huelewi ndio maana unasema nawaza kitoto na nadhani ww humu you are not among the great thinkers,kazi ya kufikiri tuachie ss tunaojua siasa za nchi hii.Tulia elewa maandishi itakusaidia ili usinekane ww ni kituko,tumesema muda ni mwalimu mzuri ss waona mbali.
 
Hii ni shariti kubwa kabisa na lenye nguvu kabisa katika serikali ya awamu ya sita ambapo upinzani kazi moja waliyopewa ni kusifia maridhiano huku wakichafua uongozi wote wa JPM.

Tayari maelekezo hayo yameshaanza kufanyiwa kazi katika mkutano wa chadema uliofanyika jijini Mwanza. Hata ACT-Wazalendo wameelekezwa hivo ingawa siyo wote wanaokubali shariti hilo la mikutano ya siasa hata CUF na wao wamepewa maelekezo hayo lakini miongoni mwao wanapinga maelekezo hayo kwa kuwa kazi za JPM zinaonekana kwa wananchi.

Upinzani kama wamechukuwa kama agenda yao kuu ya kutukana uongozi uliopita wa JPM wajue kuwa wapo ambao hawatawaelewa labda wavuta bhangi ambao hawafatilii mambo ya nchi.

Nawatakiwa jumapili njema.
Tetesi we umezitoa wapi, nyooka usiogope sema wewe unavyoona. Acha kuzunguka mbuyu
 
Hii ni shariti kubwa kabisa na lenye nguvu kabisa katika serikali ya awamu ya sita ambapo upinzani kazi moja waliyopewa ni kusifia maridhiano huku wakichafua uongozi wote wa JPM.

Tayari maelekezo hayo yameshaanza kufanyiwa kazi katika mkutano wa chadema uliofanyika jijini Mwanza. Hata ACT-Wazalendo wameelekezwa hivo ingawa siyo wote wanaokubali shariti hilo la mikutano ya siasa hata CUF na wao wamepewa maelekezo hayo lakini miongoni mwao wanapinga maelekezo hayo kwa kuwa kazi za JPM zinaonekana kwa wananchi.

Upinzani kama wamechukuwa kama agenda yao kuu ya kutukana uongozi uliopita wa JPM wajue kuwa wapo ambao hawatawaelewa labda wavuta bhangi ambao hawafatilii mambo ya nchi.

Nawatakiwa jumapili njema.
Siamini maana chama chochote kinakuja na ajenda ya kumponda magufuli watasema uongo mtupu huku wananchi wameona kwa macho uongozi wa magufuli. Itakua sawa na kujizika tu kwa yeyote anayepambana na magufuli..
 
Siamini maana chama chochote kinakuja na ajenda ya kumponda magufuli watasema uongo mtupu huku wananchi wameona kwa macho uongozi wa magufuli. Itakua dawa na kujizika tu.
Na ni bora wanasiasa wajue mapema ili leo na kesho wasijilaumu.
 
Hii ni shariti kubwa kabisa na lenye nguvu kabisa katika serikali ya awamu ya sita ambapo upinzani kazi moja waliyopewa ni kusifia maridhiano huku wakichafua uongozi wote wa JPM.

Tayari maelekezo hayo yameshaanza kufanyiwa kazi katika mkutano wa chadema uliofanyika jijini Mwanza. Hata ACT-Wazalendo wameelekezwa hivo ingawa siyo wote wanaokubali shariti hilo la mikutano ya siasa hata CUF na wao wamepewa maelekezo hayo lakini miongoni mwao wanapinga maelekezo hayo kwa kuwa kazi za JPM zinaonekana kwa wananchi.

Upinzani kama wamechukuwa kama agenda yao kuu ya kutukana uongozi uliopita wa JPM wajue kuwa wapo ambao hawatawaelewa labda wavuta bhangi ambao hawafatilii mambo ya nchi.

Nawatakiwa jumapili njema.
Wewe ni mjinga haswa
 
Hivi wewe mtu aliyekuwa anasema hadharani kuwa mtu ambaye anapinga kile alichokiita vita yake ya uchumi, hastahili kuishi, dakika chache baadaye Tundu Lissu anapigwa risasi Kwa lengo la kumuua!

Hivi mtu wa aina hiyo, anastahili heshima yoyote, kutoka Kwa Jamii iliyostahabirika?!😎

Sis watanzania tunaishi Kwa umoja wa hali ya juu, bila kuangalia tofauti zetu za dini, Wala ya kisiasa!

Bahati nzuri Sana, Mbowe ameonyesha msimamo wa chama Chake, ambao pia ni msimamo wa kibibilia, kuwa wao wako tayari kusamehe hata mara Saba mara sabini

Hakika umoja wetu ulipita katika wakati mgumu Sana, wakati wa kipindi Cha Mwendazake, ambaye aliwa-treat wapinzani wake kama wahaini!
 
Hapa bado sijakuelewa vzr. Nadhani wewe ndiye unauchafua utawala wa mama.
 
Hii ni shariti kubwa kabisa na lenye nguvu kabisa katika serikali ya awamu ya sita ambapo upinzani kazi moja waliyopewa ni kusifia maridhiano huku wakichafua uongozi wote wa JPM.

Tayari maelekezo hayo yameshaanza kufanyiwa kazi katika mkutano wa chadema uliofanyika jijini Mwanza. Hata ACT-Wazalendo wameelekezwa hivo ingawa siyo wote wanaokubali shariti hilo la mikutano ya siasa hata CUF na wao wamepewa maelekezo hayo lakini miongoni mwao wanapinga maelekezo hayo kwa kuwa kazi za JPM zinaonekana kwa wananchi.

Upinzani kama wamechukuwa kama agenda yao kuu ya kutukana uongozi uliopita wa JPM wajue kuwa wapo ambao hawatawaelewa labda wavuta bhangi ambao hawafatilii mambo ya nchi.

Nawatakiwa jumapili njema.
Sasa kama alizuia kufanyika kwa mikutano, kwa nini asipopolewe kwa maneno? Istoshe wale aliyowafunga magereza unatarajia wakateme wapi nyongo zao
 
Kuna watu wanataka siasa za leo lazima zimuhusishe JPM.
 
Back
Top Bottom