kantasundwa
JF-Expert Member
- May 25, 2020
- 1,548
- 2,384
Anawaambia watanzania kuwa wanaongozwa na mtu katili na muuaji, ndo maana anakandamiza demokrasia na uhuru wa kujieleza..Kama umefanya mema why uwe muoga?! Yule ni shetani hapaswi kuliongoza hili taifaHana cha kuongelea zaidi ya Magufuli. Labda amesahau kuwa wapiga kura wanataka kusikia mipango yake ya maendeleo. Nasikia tayari kajitayarishia makao yake Ubelgiji akishindwa. Unajuwa tena watoto wake hakubali wasome shule hivyo za serkali. Wake wanasoma shule za bei mbaya, na sasa anawatayarisha kwenda kwa Mfalme Bedouin aliyeitia Kongo umaskini wa milele.
Lowasa alikuwa anakusanya mara mia ya hao,
Sema polisi oyeeeee ..ccm oyee wako wp?CCM OYEEEEEEE
Sasa mbona Meko kapaniki? Anataka vyombo vyote vya habari vimsifie yeye tu!ana kila kitu na ana fanya fitina kibao lakini hajiamini!Mkuu, hakuna uchaguzi mwepesi kwa ccm kama huu!
Nmeona raia wengi sana wanamshangaa Lisu!
Ukitaka kujua hilo nenda kwenye coment za raia uone wanasemaje kuhusu Lisu, hasa kwenye page za BBC, VoA na DW.
Kiufupi Lisu hana mtaji wa watu nje ya chama chake.
Achana na haya mazombie yanayopiga kelele humu JF!
Page za BBC ambazo Gwajima na polepole wameelekeza watu wakajitoe ufahamu kumtetea magufuli????Mkuu, hakuna uchaguzi mwepesi kwa ccm kama huu!
Nmeona raia wengi sana wanamshangaa Lisu!
Ukitaka kujua hilo nenda kwenye coment za raia uone wanasemaje kuhusu Lisu, hasa kwenye page za BBC, VoA na DW.
Kiufupi Lisu hana mtaji wa watu nje ya chama chake.
Achana na haya mazombie yanayopiga kelele humu JF!
Mkuu, hakuna uchaguzi mwepesi kwa ccm kama huu!
Nmeona raia wengi sana wanamshangaa Lisu!
Ukitaka kujua hilo nenda kwenye coment za raia uone wanasemaje kuhusu Lisu, hasa kwenye page za BBC, VoA na DW.
Kiufupi Lisu hana mtaji wa watu nje ya chama chake.
Achana na haya mazombie yanayopiga kelele humu JF!
Kwan una uhakika 2015 CCM ilishinda kihalali ..
Mkuu, Upinzani Bado wanaamini wanaweza kushinda kwa kelele za mashabiki wa Chadema ambao hawana hata uhakika nao Jpm Bado mpinzani kwa SasaWasalaam,
The same Scenario ya 2015 nimeshangaa sana inajirudia kwa kasi Watu wako wanajadili namna ya wagombea wakipokelewa mikoani kwa umati mkubwa.
CHADEMA mna cha kujifunza uchaguzi wa Mwaka 2015 ila ni dhahiri mmeonekana kuyasahau mafunzo hayo hadi sasa Mnamuona Lissu ndiye mshindi na Kuangali miji aliyotembelea na Kupima kura zake kwa Umati.
Uzi tayari, Tukutane Oktoba 28 kila mtu ashinde mechi zake.
From Tallying Centre
View attachment 1534443View attachment 1534443
Kuishinda ccm labda uipambanishe na ANC hapo ndiyo kutakuwa na mtifuano wa kufa mtu.Lakini hawa wapinzani wa bongo wanaoangalia mafuriko mhhhhhhhhh
Unafurahia ujinga mkuu! Kama ule wa 2015.
Mizuka na mihemuko ndio inakufanga ufurahi,
Subiri oktoba utaumia vibaya sana
Lisu anatia Huruma sana,amezama mapema sana.Mkuu, hakuna uchaguzi mwepesi kwa ccm kama huu!
Nmeona raia wengi sana wanamshangaa Lisu!
Ukitaka kujua hilo nenda kwenye coment za raia uone wanasemaje kuhusu Lisu, hasa kwenye page za BBC, VoA na DW.
Kiufupi Lisu hana mtaji wa watu nje ya chama chake.
Achana na haya mazombie yanayopiga kelele humu JF!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unaongea kwa kukata tamaa sana,,
Lisu ndio huyo anachanja mbuga ila cha ajabu kila anapopata nafasi ya kuhutubia, hotuba nzima ni Magufuli tu,!
Mwambieni wananchi wanataka kusikia kabeba nini kichwani kwake
Mwambie wananchi wanataka kujua amebeba nini kichwani juu ya tz,
Habari ya Magu kutuma watu wampige tukishasikia miaka 3 iliyopita. Sasa ni wakati wa kusikia ana nini juu ya tz,
Habari za Magu ni useless
Katika hii mikutano, iwe ya CCM, CHADEMA, HASHIM RUNGWE, n.k - wanaenda watu wa tabaka za vyama mbali mbali na wengine hawana vyama! Hivyo mkiona watu wamejazana, siyo kwamba ni wa chama husika! Wengine ni watoto na wengine ni wapenda shughuli tu. Na usikute wanachama wakawa wachache mno.
Daah,nikiangalia Kongo..!!Lisu aache ujinga kabisa asee.Hana cha kuongelea zaidi ya Magufuli. Labda amesahau kuwa wapiga kura wanataka kusikia mipango yake ya maendeleo. Nasikia tayari kajitayarishia makao yake Ubelgiji akishindwa. Unajuwa tena watoto wake hakubali wasome shule hivyo za serkali. Wake wanasoma shule za bei mbaya, na sasa anawatayarisha kwenda kwa Mfalme Bedouin aliyeitia Kongo umaskini wa milele.
17% inajitokeza kwenye taswira yangu.Msimamo wangu ni uleule toka mwanzo!
Kutokana na Lisu kuwa na ushawishi mdogo tena ndani ya chadeka pekee, basi atapata asilimia 20 tu