Uchaguzi 2020 Upinzani bado wana mentality ya kujaza umati ndiyo kukubalika

Wasalaam,

The same Scenario ya 2015 nimeshangaa sana inajirudia kwa kasi Watu wako wanajadili namna ya wagombea wakipokelewa mikoani kwa umati mkubwa...
CCM bado wana mentality ya kusaidiwa na TISS, Wakurugenzi, Police, TBC na Tume isiyo huru ya Uchaguzi
 
Wasalaam,

The same Scenario ya 2015 nimeshangaa sana inajirudia kwa kasi Watu wako wanajadili namna ya wagombea wakipokelewa mikoani kwa umati mkubwa...
Hawezi kufikia umati wa lowasa hata siku moja.
 
Wasalaam,

The same Scenario ya 2015 nimeshangaa sana inajirudia kwa kasi Watu wako wanajadili namna ya wagombea wakipokelewa mikoani kwa umati mkubwa....
Nyani haoni kundule.
 
Sasa kama unashinda hapa jf kumshabikia Lisu kwanini usilale na njaa?
Mimi sina shida ya wapi nitakula, no maana ninalima mashamba makubwa tu.

Shida ipo kwenu hasa wewe unaye ishi maisha ya kuramba miguu ili upate ridhiki yako
 
Mkuu hata kura zikihesabiwa na Lisu mwenyewe, hapati zaidi ya asilimia 20

Asilimia 20 nyingi, hata apate moja kwetu ni poa tu, ili mradi ziwe halali. Kama ccm inategemea ushindi mkubwa hivyo, kwanini ilinajisi chaguzi zote za marudio na wa SM?
 
Asilimia 20 nyingi, hata apate moja kwetu ni poa tu, ili mradi ziwe halali. Kama ccm inategemea ushindi mkubwa hivyo, kwanini ilinajisi chaguzi zote za marudio na wa SM?
Ukinajisiwa kivipi?
 
Naona dawa inawaingia vyema kabisa, ccm bye bye bye
@Troll JF kaleta mada ya maana kwa wapinzani Ila mmeishia kumkejeli na kumdhihaki.

Hakuna asiyeifahamu Chadema au kumjua Lisu. Wengi wangependa kumpa Lisu kura Ila je Chadema mnauwezo wa kulinda hizo kura hadi mwisho? Au mnasubiri kuja kulalamika kuwa mmeibiwa kura zenu baada ya October?

Amekuwa mungwana kiasi cha kuwaonesha sehemu mtakapochinjiwa lkn nyie mnabweteka na mafuriko Kama ilivyokuwa 2015.....ama kweli tukutane baada ya October.
 
twende twita sasa
 
Mimi naomba waendelee kujiaminisha hivyo bila kujua kuwa Uchaguzi ni Sayansi.
 
Nilitegemea KBS Uzi uwe mfupi. Mimi na wewe tunajua kwanini. Mlipokua mnatamba kwamba magufuli asimamishwa na maelfu ya tu barabarani mlimaanisha Nini kusema wingi wa watu?
 
Wali wa kushiba utauona kwenye sahani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…