Upinzani hasa CHADEMA toeni neno kuhusiana na matamshi ya huyu kijana wa UVCCM Bokoba, haya siyo ya kudharau

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Amesema watawapoteza wanaomtukana Samia.

Kutukana huwezi kujua yeye anamaanisha nini!

Hata kumkosoa Samia kwa akili za watu kama hawa na matamshi kama haya, watasema ni matusi.

Na as long as wana vyombo vya ukandamizaji msidharau kauli hizi.
 
Kwan chadema ni jeshi la police.

Police ilitakiwa kuchukua huyo kijana wa CCM, akatoe ushirikiano, kuwa CCM wanausikaje na kutokomeza wananchi
 
Amesema watawapoteza wanaomtukana Samia. Kutukana huwezi kujua yeye anamaanisha nini! hata kumkosoa Samia kwa akili za watu kama hawa na matamshi kama haya, watasema ni matusi . Na as long as wana vyombo vya ukandamizaji msidharau kauli hizi .
it was just political statement and nothing else:NoGodNo:
 
Amesema watawapoteza wanaomtukana Samia. Kutukana huwezi kujua yeye anamaanisha nini! hata kumkosoa Samia kwa akili za watu kama hawa na matamshi kama haya, watasema ni matusi . Na as long as wana vyombo vya ukandamizaji msidharau kauli hizi .
Anatembea njia za Kheri James
 
Amesema watawapoteza wanaomtukana Samia. Kutukana huwezi kujua yeye anamaanisha nini! hata kumkosoa Samia kwa akili za watu kama hawa na matamshi kama haya, watasema ni matusi . Na as long as wana vyombo vya ukandamizaji msidharau kauli hizi .
Husiangaike na chawa kama hao, anatafuta kusikika ili afikiriwe kwenye teuzi. Sasa hivi wanatukanana wenyewe kwa wenyewe wala Chadema haina haja ya kuajiangaisha.
 
Amesema watawapoteza wanaomtukana Samia.

Kutukana huwezi kujua yeye anamaanisha nini!

Hata kumkosoa Samia kwa akili za watu kama hawa na matamshi kama haya, watasema ni matusi.

Na as long as wana vyombo vya ukandamizaji msidharau kauli hizi.
Sio kazi yao
 
Kwan chadema ni jeshi la police.

Police ilitakiwa kuchukua huyo kijana wa CCM, akatoe ushirikiano, kuwa CCM wanausikaje na kutokomeza wananchi
Amepata nguvu ya kusema hayo kwa vile anajua polisi hawatamfanya lolote. Hivyo Chadema wasidharau kauli kama jizi. Yale ya Gekul....umesahau?
 
Neno ni hili hapa! Waliojenga msiwatukana Wala kuwasema vibaya😂
 
Attachments

  • VID-20240417-WA0066.mp4
    20.2 MB
Kwan chadema ni jeshi la police.

Police ilitakiwa kuchukua huyo kijana wa CCM, akatoe ushirikiano, kuwa CCM wanausikaje na kutokomeza wananchi
Wakuu wa Polisi wanateuliwa na Mwenyekiti wa CCM , hao bila shaka ni sehemu ya ccm
 
Amethibitisha, U VVCCM Kuna kitengo kinachohusika na utekaji.
 
Amesema watawapoteza wanaomtukana Samia.

Kutukana huwezi kujua yeye anamaanisha nini!

Hata kumkosoa Samia kwa akili za watu kama hawa na matamshi kama haya, watasema ni matusi.

Na as long as wana vyombo vya ukandamizaji msidharau kauli hizi.
Anatakiwa apotezwe wa kwanza,shida tumejaa ukondoo sana.
 
Back
Top Bottom