Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeishafika
it was just political statement and nothing elseAmesema watawapoteza wanaomtukana Samia. Kutukana huwezi kujua yeye anamaanisha nini! hata kumkosoa Samia kwa akili za watu kama hawa na matamshi kama haya, watasema ni matusi . Na as long as wana vyombo vya ukandamizaji msidharau kauli hizi .

Anatembea njia za Kheri JamesAmesema watawapoteza wanaomtukana Samia. Kutukana huwezi kujua yeye anamaanisha nini! hata kumkosoa Samia kwa akili za watu kama hawa na matamshi kama haya, watasema ni matusi . Na as long as wana vyombo vya ukandamizaji msidharau kauli hizi .
Husiangaike na chawa kama hao, anatafuta kusikika ili afikiriwe kwenye teuzi. Sasa hivi wanatukanana wenyewe kwa wenyewe wala Chadema haina haja ya kuajiangaisha.Amesema watawapoteza wanaomtukana Samia. Kutukana huwezi kujua yeye anamaanisha nini! hata kumkosoa Samia kwa akili za watu kama hawa na matamshi kama haya, watasema ni matusi . Na as long as wana vyombo vya ukandamizaji msidharau kauli hizi .
Sio kazi yaoAmesema watawapoteza wanaomtukana Samia.
Kutukana huwezi kujua yeye anamaanisha nini!
Hata kumkosoa Samia kwa akili za watu kama hawa na matamshi kama haya, watasema ni matusi.
Na as long as wana vyombo vya ukandamizaji msidharau kauli hizi.
Amepata nguvu ya kusema hayo kwa vile anajua polisi hawatamfanya lolote. Hivyo Chadema wasidharau kauli kama jizi. Yale ya Gekul....umesahau?Kwan chadema ni jeshi la police.
Police ilitakiwa kuchukua huyo kijana wa CCM, akatoe ushirikiano, kuwa CCM wanausikaje na kutokomeza wananchi
Kwenda kutafuta haki ni kazi ya wewe,.mimi na yuleSio kazi yao
Exactly!Anatembea njia za Kheri James
Wakuu wa Polisi wanateuliwa na Mwenyekiti wa CCM , hao bila shaka ni sehemu ya ccmKwan chadema ni jeshi la police.
Police ilitakiwa kuchukua huyo kijana wa CCM, akatoe ushirikiano, kuwa CCM wanausikaje na kutokomeza wananchi
Amepata nguvu ya kusema hayo kwa vile anajua polisi hawatamfanya lolote. Hivyo Chadema wasidharau kauli kama jizi. Yale ya Gekul....umesahau?
Anatakiwa apotezwe wa kwanza,shida tumejaa ukondoo sana.Amesema watawapoteza wanaomtukana Samia.
Kutukana huwezi kujua yeye anamaanisha nini!
Hata kumkosoa Samia kwa akili za watu kama hawa na matamshi kama haya, watasema ni matusi.
Na as long as wana vyombo vya ukandamizaji msidharau kauli hizi.