Upinzani hauuliwi kwa mabavu, udikteta, vitisho na ukatili, ukitaka kuua upinzani mpe Hussein Mwinyi nchi aufute upinzani

..Je, unaweza kuua upinzani huku ukiwaacha wapinzani salama?
 
..hata Dr.Shein alikuwa akisifiwa kwa upole,uungwana, na ucha mungu.

..lakini sote tumeshuhudia mambo ya kikatili ktk utawala wake.
Mkuu, mkondo wa maji ukiwa na nguvu,..utapelekwa na maji kwa namna yoyote ile

..bado 'koti' ni gumu kulivua.!
 
Upinzani Tanzania umejifia kutokana na:

1. Elimu bure msingi mpaka sekondari
2. Umeme kila kijiji
3. Vituo vya afya kila kijiji
4. Miradi ya maji kila mahali
5. Kukomesha wizi na ufisadi
6. Vita dhidi ya rushwa
7. Nidhamu utumishi wa umma
8. Wanyonge kwanza
9. Kufufua huduma za reli
10. Ujenzi wa meli maziwa makuu
11. Kudhibiti utoroshaji madini
12. Kufufua shirika la ndege
13. Ujenzi wa reli
14. Ujenzi bwawa la kufua umeme
15. Kutokomeza korona
16. Kuingia uchumi wa kati
17. Maendeleo bila kujali chama
18. Upinzani kwenda chama tawala ruksa
19. Muda wa kazi, Muda wa siasa
20. Kufanyia kazi hoja za upinzani
21. Kudhibiti ujangili na ujambazi
22. Endelea na wewe......
23.
24.
25.
 
Hussein Mwinyi wachache sana ndio wanamfahamu kwa undani. Ni mtu mwenye roho ya aina yake. Sidhani kama kuna kiongozi serikalini anafikia hata nusu yake (Wengi wanafanya mambo kujionisha na kutafuta hits/kiki).

NOTE THAT; Hussein Mwinyi wakati waziri wa ulinzi ili kuwahamasisha watendaji wake wa kazi kufanya kazi kwa utulivu na weredi, watendaji ambao waliokua wakipatwa na matatizo/ugomvi kifamilia, ilifikia hatua alikuwa akiwashtukiza majumbani kwao usiku mida ya saa moja/mbili kwenda KUWASULUHISHA UGOMVI WA NDOA (Mke Na Mume).

Tafakari Waziri anakwenda nyumbani kwa mwanajeshi mwenye V 2 au 3 mida ya saa moja au mbili usiku, kusuluhisha ugomvi wa kifamilia ili mtu akirudi kazini siku ya pili asiwe na wenge. Huwezi kusikia katika vyombo vya habari au mitandao ya kijamii mambo aliofanya kipindi waziri.

Ila mzee baba akitoa mchango hata wa buku ya kubeti, lazima kesho asubuhi na mapema BREKINI NYUUZZ vyombo vyote vya habari mpaka vyombo vya jikoni. Sasa ole wako usitangaze hio habari, basi TCRA inakuhusu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama ni kweli basi huyu dr.Mwinyi ni kiongozi bora.

Upinzani ni fikra,na mpinzani ni mtu.Unaweza kuua mtu ila huwezi kuua fikra.
 
Upinzani Tanzania umejifia kutokana na:

1. Elimu bure msingi mpaka sekondari ACHA UFALA, ELIMU BURE NI ELIMU DUNI.
2. Umeme kila kijiji hata Gamboshi?
3. Vituo vya afya kila kijiji dawa hamna, umeumwa na nyoka unapewa panadol
4. Miradi ya maji kila mahali Unakujua Buguruni, Kiwalani, Gongo la Mboto etc, Ni DAR ES Salaam na maji ya bomba ni hekaya za Abunuasi, vipi huko kwingine?
5. Kukomesha wizi na ufisadi haya magari ya mamilioni 400 ya wakurugenzi sio wizi wa hela za wananchi ambao hawana madawa wala maji wala pembejeo?
6. Vita dhidi ya rushwa inapiganwa wapi? Umesikia wapi?
7. Nidhamu utumishi wa umma magirini matupu
8. Wanyonge kwanza wapi? Nenda kaangalie wanyonge wanavyo nyanyaswa na madereva wa mwendokasi Ferry, eti ni wajeda.
9. Kufufua huduma za reli wapi Mv Dsm?
10. Ujenzi wa meli maziwa makuu True
11. Kudhibiti utoroshaji madini true, lakini chuma kinatumika zaidi kuliko dhahabu
12. Kufufua shirika la ndege asilimia ngapi ya wabongo wanautumia?
13. Ujenzi wa reli endless project
14. Ujenzi bwawa la kufua umeme Nyerere hakuyajenga?
15. Kutokomeza korona 🙄
16. Kuingia uchumi wa kati increase in empecunious
17. Maendeleo bila kujali chama TUNDUMA ALISEMA MSIPOCHAGUA CCM SILETI MAJI, MCHAGUENI SILINDE
18. Upinzani kwenda chama tawala ruksa by cash
19. Muda wa kazi, Muda wa siasa
20. Kufanyia kazi hoja za upinzani
21. Kudhibiti ujangili na ujambazi
22. Endelea na wewe......
23.
24.
25.
 
Upinzani Tanzania umejifia kutokana na:

1. Elimu bure msingi mpaka sekondari
2. Umeme kila kijiji
3. Vituo vya afya kila kijiji
4. Miradi ya maji kila mahali
5. Kukomesha wizi na ufisadi
6. Vita dhidi ya rushwa
7. Nidhamu utumishi wa umma
8. Wanyonge kwanza
9. Kufufua huduma za reli
10. Ujenzi wa meli maziwa makuu
11. Kudhibiti utoroshaji madini
12. Kufufua shirika la ndege
13. Ujenzi wa reli
14. Ujenzi bwawa la kufua umeme
15. Kutokomeza korona
16. Kuingia uchumi wa kati
17. Maendeleo bila kujali chama
18. Upinzani kwenda chama tawala ruksa
19. Muda wa kazi, Muda wa siasa
20. Kufanyia kazi hoja za upinzani
21. Kudhibiti ujangili na ujambazi
22. Endelea na wewe......
23.
24.
25.
Kuna vipengele vitatu tu vinayoonesha u-mbumbumbu wako ulipo;
1,5,na 16.Halafu ulivyo kilaza unakiri kabisa kuwa ajira haipo kwenye vipengele vyote.
 
Mpe muda. Hata huyu alifanya vizuri mwanzoni
 
Malezi na mazingira anayokulia mtu yanaathiri sana uwezo wa mtu kung'amua mambo na tabia yake
 
Hussein Mwinyi wachache sana ndio wanamfahamu kwa undani. Ni mtu mwenye roho ya aina yake. Sidhani kama kuna kiongozi serikalini anafikia hata nusu yake (Wengi wanafanya mambo kujionisha na kutafuta hits/kiki).

NOTE THAT; Hussein Mwinyi wakati waziri wa ulinzi ili kuwahamasisha watendaji wake wa kazi kufanya kazi kwa utulivu na weredi, watendaji ambao waliokua wakipatwa na matatizo/ugomvi kifamilia, ilifikia hatua alikuwa akiwashtukiza majumbani kwao usiku mida ya saa moja/mbili kwenda KUWASULUHISHA UGOMVI WA NDOA (Mke Na Mume).

Tafakari Waziri anakwenda nyumbani kwa mwanajeshi mwenye V 2 au 3 mida ya saa moja au mbili usiku, kusuluhisha ugomvi wa kifamilia ili mtu akirudi kazini siku ya pili asiwe na wenge. Huwezi kusikia katika vyombo vya habari au mitandao ya kijamii mambo aliofanya kipindi waziri.

Ila mzee baba akitoa mchango hata wa buku ya kubeti, lazima kesho asubuhi na mapema BREKINI NYUUZZ vyombo vyote vya habari mpaka vyombo vya jikoni. Sasa ole wako usitangaze hio habari, basi TCRA inakuhusu.
Aiseee kaka kama ni kweli. Basi prrsonality ya hussein mwinyi na mhe baba jesca.. ni watu tofauti kabisa.

Mmoja anabeba sura halisi za watanzania. Mwingine anapenda kuabudiwa.
 
Hata watumie Bunduki na vifaru hawawezi kuua upinzani.

Upinzani upo ndani ya mioyo ya watu.
 
Back
Top Bottom