Upinzani hauuliwi kwa mabavu, udikteta, vitisho na ukatili, ukitaka kuua upinzani mpe Hussein Mwinyi nchi aufute upinzani

..Je, unaweza kuua upinzani huku ukiwaacha wapinzani salama?
 
..hata Dr.Shein alikuwa akisifiwa kwa upole,uungwana, na ucha mungu.

..lakini sote tumeshuhudia mambo ya kikatili ktk utawala wake.
Mkuu, mkondo wa maji ukiwa na nguvu,..utapelekwa na maji kwa namna yoyote ile

..bado 'koti' ni gumu kulivua.!
 
Upinzani Tanzania umejifia kutokana na:

1. Elimu bure msingi mpaka sekondari
2. Umeme kila kijiji
3. Vituo vya afya kila kijiji
4. Miradi ya maji kila mahali
5. Kukomesha wizi na ufisadi
6. Vita dhidi ya rushwa
7. Nidhamu utumishi wa umma
8. Wanyonge kwanza
9. Kufufua huduma za reli
10. Ujenzi wa meli maziwa makuu
11. Kudhibiti utoroshaji madini
12. Kufufua shirika la ndege
13. Ujenzi wa reli
14. Ujenzi bwawa la kufua umeme
15. Kutokomeza korona
16. Kuingia uchumi wa kati
17. Maendeleo bila kujali chama
18. Upinzani kwenda chama tawala ruksa
19. Muda wa kazi, Muda wa siasa
20. Kufanyia kazi hoja za upinzani
21. Kudhibiti ujangili na ujambazi
22. Endelea na wewe......
23.
24.
25.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama ni kweli basi huyu dr.Mwinyi ni kiongozi bora.

..Je, unaweza kuua upinzani huku ukiwaacha wapinzani salama?
Upinzani ni fikra,na mpinzani ni mtu.Unaweza kuua mtu ila huwezi kuua fikra.
 
 
Kuna vipengele vitatu tu vinayoonesha u-mbumbumbu wako ulipo;
1,5,na 16.Halafu ulivyo kilaza unakiri kabisa kuwa ajira haipo kwenye vipengele vyote.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Mpe muda. Hata huyu alifanya vizuri mwanzoni
 
Malezi na mazingira anayokulia mtu yanaathiri sana uwezo wa mtu kung'amua mambo na tabia yake
 
Aiseee kaka kama ni kweli. Basi prrsonality ya hussein mwinyi na mhe baba jesca.. ni watu tofauti kabisa.

Mmoja anabeba sura halisi za watanzania. Mwingine anapenda kuabudiwa.
 
Hata watumie Bunduki na vifaru hawawezi kuua upinzani.

Upinzani upo ndani ya mioyo ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…