Upinzani hauuliwi kwa mabavu, udikteta, vitisho na ukatili, ukitaka kuua upinzani mpe Hussein Mwinyi nchi aufute upinzani

Naona makamanda mmeanza kumtoroka kamanda msaliti pole pole kwa kunyatia na kupigia upatu maccm!

Kweli hata mkimtoroka ni sawa, alitaka kuwaingiza barabarani mkachicken!
 
Mwinyi amezaliwa na kukulia ikulu hivyo anajua anachokifanya. Kaka Mandege amekua na ng'ombe na fimbo mkononi hivyo acha kushangaa mkuu. Ushamba v/s Weledi
 
Naamini Bujibuji hamaanishi au hapigii upatu kufa kwa upinzani bali alitaka kuonesha kama Rais wetu hamu yake ni kuona upinzani unakufa basi "aue" upinzani kwa kuwawajibikia wananchi hadi wananchi waone au angalau waamini "CCM inatosha" na sio kutumia mabavu na hila dhidi ya upinzani!!
 
Good explanation
 
Mtafute mwingine! Tundu Lissu hana hoja, ni majigambo na matusi, mtashindwa tena.
 

Mzee wa MIDEGE ni bora auze Midege atuwekee MORAMU kwenye barabara zetu za uswahilini na makaravati.....Tangu nizaliwe sijawahi kupanda NDEGE.
 
Mzee wa MIDEGE ni bora auze Midege atuwekee MORAMU kwenye barabara zetu za uswahilini na makaravati.....Tangu nizaliwe sijawahi kupanda NDEGE.
Umeona ehhh zaidi ya Boeing 737 The Wings of Kilimanjaro aliyotuachia Nyerere na zile Foker sijawahi kupanda ndege zao Tena nimeoanda Fast Jet, PW na nyingine za nje sio hizi vieite
 
Naunga mkono hoja,,japo ni mapema tumpe angalau miaka 2 ya kuona atakachofanya.
 
Umewahi kupanda punda??!!

Mkuu, Usipowahi kupanda katika awamu hii ya Madege basi tena hupandi tena.

Ndege oyeee.

Hapana Mkuu usafiri wangu Mkuu ni Baiskeli mara chache sana natumia Uchawi wa Kizungu "TOYO".
 
Hapana Mkuu usafiri wangu Mkuu ni Baiskeli mara chache sana natumia Uchawi wa Kizungu "TOYO".


Safi sana endelea hivyohivyo na kupanda uchawi wa kizungu Toyo, sasa ndege ndiyo uchawi mkubwa zaidi wa kizungu subiri ipo siku pia utapanda ndege tu.

Vinchi vidogo vina ndege sisi linchi likubwa hatukwa hata na ndege moja kwanini??!!----ama tupate hasara au faida kuwa na ndege haijalishi ni lazima tuwe na ndege tu ili hivyo vinchi vidogo vitujue sisi ni nani!!!🤣🤣
 
Wanadhani bunduki itaua demokrasia
 
Acha ujinga ilikuwepo precession air na fast jet
 
Yote yaliyotokea tangu 2015 mpaka leo
Kuua, kuteka, kubambika kesi, kuvuruga uchaguzi, kuminya Uhuru wa kichumi,kuzuia siasa, kunyanganya watu hela

Ilikuwa hofu ya kupoteza madaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…