Wewe mwenyewe umeshapasuka 🤣Subiri waje uone povu
Hakina umenena mkuuCCM tayari ilishajipasua yenyewe wala hakuna haja ya kuhangaika nayo! Cha kuhangaikia ni kutafta namna ya kuthibiti wizi wa kura tu!
Ndani ya hicho chama kuna kundi kubwa sana litampigia kura Lissu, hili kundi ni sehemu ya vipande vilivyopasuka ndani ya ccm. Ukitaka kulijua hilo rejea mchakato wa kura maoni ambapo wanachama walioshinda kihalali, walizibiwa nafasi zao na kupewa walishindwa!
Rejea uvunjwaji wa misingi na katiba ya hicho chama unaofanywa na mwenyekiti wake , mfano mzuri ni ule ulanguzi wa viongozi na wanachama wa upinzani, alafu kisha mtu hajamaliza hata mwezi ndani ya ccm akateuliwa kugombea ubunge huku wale waliokipigania chama hicho miaka nenda rudi wakibakia vijiweni na sifa wanazo!
Hujui kama imeshapasuka??Wakuu amani kwenu na poleni na pilikapilika za kampeni za uchaguzi mkuu.
Jambo ninalotaka kuwashirikisha na kuwaasa wapinzani ni kuwa BILA KUIPASUA CCM KATIKATI na kufanya walau nusu ya wanaCCM wapigie kura upinzani, Lissu hawezi kushinda uchaguzi huu. Huu ndio ukweli mchungu. Angalia mahesabu hapa chini:
Jumla ya wapiga kura ni milioni 29, kwa uzoefu wa 2015 watakaopiga kura ni 60% tu ya hao maana yake kura halisi jumla ni milioni 18, si zaidi ya hapo.
Sasa CCM ina wanachama walio hai karibia milioni 8 ambao ni watiifu kwa chama. Wanabaki wapiga kura milioni 10 (18-8) ambao si wanaCCM damu. kati ya hao tuseme 20% to ndio watampigia kura JPM ambao ni sawa na milioni 2 (20% ya milioni 10). Ina maana kwa makadirio ya chini kabisa JPM atapata kura milioni 10 ambazo ni 55% ya kura zote. Hii tayari ni ushindi kwa CCM.
Ndio maana nasema bila kushawishi walau nusu ya wanaCCM kupigia kura upinzani huwezi kuishinda CCM. Sasa habari mbaya/nzuri ni kuwa mwaka huu 2020 CCM wako wamoja kuliko 2015. Tatizo lingine ni kuwa hakuna jitihada katika kampeni za kuwaomba na kuwashawishi wanaCCM wampigie Lissu, sana sana wanatukanwa na kuitwa "Ma-CCM".
Uchaguzi na ushindi ni suala la numbers naona upinzani hawajacheza vizuri namba zao na kwa hiyo wasishangae wakishindwa.
Tafiti upingwa na tafiti, kama unaona nilichowasilisha si sahihi, weka namba zako hapa tuone kama zinaubeba upinzani kushinda.
Lakini pia vyama vya upinzani havina mikakati thabiti ya ushindi. Kwa mfano CCM kabla ya uchaguzi hupita kwa wanachama wao wote na kuwahakiki. Hii huwasaidia kujua idadi ya wanachama wao waliyo hai. Lakini pia CCM hupitia wanachama wao wote na kuwahamasisha kwenda kuhakiki na kujiandikisha katika daftari la mpiga kura. Si hivyo tu tarehe pia tarehe 27/10 CCM wana kamati zinazopita kwa kila mwanachama wao na kumkumbusha na kumsisitizia pia kwenda kupiga kura tarehe 28. Sambamba na hayo CCM wanajua wapiga kura wao wote kwan baada ya kuwasisitizia kujiansikisha lakini pia huwapitia na kuthibisha kama wanamiliki kadi za mpiga kura.Wakuu amani kwenu na poleni na pilikapilika za kampeni za uchaguzi mkuu.
Jambo ninalotaka kuwashirikisha na kuwaasa wapinzani ni kuwa BILA KUIPASUA CCM KATIKATI na kufanya walau nusu ya wanaCCM wapigie kura upinzani, Lissu hawezi kushinda uchaguzi huu. Huu ndio ukweli mchungu. Angalia mahesabu hapa chini:
Jumla ya wapiga kura ni milioni 29, kwa uzoefu wa 2015 watakaopiga kura ni 60% tu ya hao maana yake kura halisi jumla ni milioni 18, si zaidi ya hapo.
Sasa CCM ina wanachama walio hai karibia milioni 8 ambao ni watiifu kwa chama. Wanabaki wapiga kura milioni 10 (18-8) ambao si wanaCCM damu. kati ya hao tuseme 20% to ndio watampigia kura JPM ambao ni sawa na milioni 2 (20% ya milioni 10). Ina maana kwa makadirio ya chini kabisa JPM atapata kura milioni 10 ambazo ni 55% ya kura zote. Hii tayari ni ushindi kwa CCM.
Ndio maana nasema bila kushawishi walau nusu ya wanaCCM kupigia kura upinzani huwezi kuishinda CCM. Sasa habari mbaya/nzuri ni kuwa mwaka huu 2020 CCM wako wamoja kuliko 2015. Tatizo lingine ni kuwa hakuna jitihada katika kampeni za kuwaomba na kuwashawishi wanaCCM wampigie Lissu, sana sana wanatukanwa na kuitwa "Ma-CCM".
Uchaguzi na ushindi ni suala la numbers naona upinzani hawajacheza vizuri namba zao na kwa hiyo wasishangae wakishindwa.
Tafiti upingwa na tafiti, kama unaona nilichowasilisha si sahihi, weka namba zako hapa tuone kama zinaubeba upinzani kushinda.
Sijui huyu mleta post/ MATÀGÀ kama atakuelewa.CCM tayari ilishajipasua yenyewe wala hakuna haja ya kuhangaika nayo! Cha kuhangaikia ni kutafta namna ya kuthibiti wizi wa kura tu!
Ndani ya hicho chama kuna kundi kubwa sana litampigia kura Lissu, hili kundi ni sehemu ya vipande vilivyopasuka ndani ya ccm. Ukitaka kulijua hilo rejea mchakato wa kura maoni ambapo wanachama walioshinda kihalali, walizibiwa nafasi zao na kupewa walishindwa!
Rejea uvunjwaji wa misingi na katiba ya hicho chama unaofanywa na mwenyekiti wake , mfano mzuri ni ule ulanguzi wa viongozi na wanachama wa upinzani, alafu kisha mtu hajamaliza hata mwezi ndani ya ccm akateuliwa kugombea ubunge huku wale waliokipigania chama hicho miaka nenda rudi wakibakia vijiweni na sifa wanazo!
Last week nilikumiss sana ,Vipi ulikuwa off kidogo.Subiri waje uone povu
Mkuu maswali yangu ya msingi ambayo unapaswa kuyajibu ni haya hapa chini:Wakuu amani kwenu na poleni na pilikapilika za kampeni za uchaguzi mkuu.
Jambo ninalotaka kuwashirikisha na kuwaasa wapinzani ni kuwa BILA KUIPASUA CCM KATIKATI na kufanya walau nusu ya wanaCCM wapigie kura upinzani, Lissu hawezi kushinda uchaguzi huu. Huu ndio ukweli mchungu. Angalia mahesabu hapa chini:
Jumla ya wapiga kura ni milioni 29, kwa uzoefu wa 2015 watakaopiga kura ni 60% tu ya hao maana yake kura halisi jumla ni milioni 18, si zaidi ya hapo.
Sasa CCM ina wanachama walio hai karibia milioni 8 ambao ni watiifu kwa chama. Wanabaki wapiga kura milioni 10 (18-8) ambao si wanaCCM damu. kati ya hao tuseme 20% to ndio watampigia kura JPM ambao ni sawa na milioni 2 (20% ya milioni 10). Ina maana kwa makadirio ya chini kabisa JPM atapata kura milioni 10 ambazo ni 55% ya kura zote. Hii tayari ni ushindi kwa CCM.
Ndio maana nasema bila kushawishi walau nusu ya wanaCCM kupigia kura upinzani huwezi kuishinda CCM. Sasa habari mbaya/nzuri ni kuwa mwaka huu 2020 CCM wako wamoja kuliko 2015. Tatizo lingine ni kuwa hakuna jitihada katika kampeni za kuwaomba na kuwashawishi wanaCCM wampigie Lissu, sana sana wanatukanwa na kuitwa "Ma-CCM".
Uchaguzi na ushindi ni suala la numbers naona upinzani hawajacheza vizuri namba zao na kwa hiyo wasishangae wakishindwa.
Tafiti upingwa na tafiti, kama unaona nilichowasilisha si sahihi, weka namba zako hapa tuone kama zinaubeba upinzani kushinda.
Wakuu amani kwenu na poleni na pilikapilika za kampeni za uchaguzi mkuu.

Hakika umeongea pointi moja muhimu sana kwa hilo Chadem watasubiri sana ni mwendo wakijani tyuu
Uchaguzi na ushindi ni suala la numbers naona upinzani hawajacheza vizuri namba zao na kwa hiyo wasishangae wakishindwa.
Tafiti upingwa na tafiti, kama unaona nilichowasilisha si sahihi, weka namba zako hapa tuone kama zinaubeba upinzani kushinda.
Huijui ccm wewe. Hiki Chama kimekaza Sana sasa hivi kuliko 2015.Oct 28 kitakushangaza vibaya mno.Ndani ya CCM kwenyewe watu hawataki kumuona huyu mzee hata waliongombea kwenye kura za maoni 3/4 hawataipigia CCM.
Wewe umefanya utatiti au umekop presentation ya jasusi mmbobezi kauli yake ya Jana . Ndo ukaja na data hapa kujustifyWakuu amani kwenu na poleni na pilikapilika za kampeni za uchaguzi mkuu.
Jambo ninalotaka kuwashirikisha na kuwaasa wapinzani ni kuwa BILA KUIPASUA CCM KATIKATI na kufanya walau nusu ya wanaCCM wapigie kura upinzani, Lissu hawezi kushinda uchaguzi huu. Huu ndio ukweli mchungu. Angalia mahesabu hapa chini:
Jumla ya wapiga kura ni milioni 29, kwa uzoefu wa 2015 watakaopiga kura ni 60% tu ya hao maana yake kura halisi jumla ni milioni 18, si zaidi ya hapo.
Sasa CCM ina wanachama walio hai karibia milioni 8 ambao ni watiifu kwa chama. Wanabaki wapiga kura milioni 10 (18-8) ambao si wanaCCM damu. kati ya hao tuseme 20% to ndio watampigia kura JPM ambao ni sawa na milioni 2 (20% ya milioni 10). Ina maana kwa makadirio ya chini kabisa JPM atapata kura milioni 10 ambazo ni 55% ya kura zote. Hii tayari ni ushindi kwa CCM.
Ndio maana nasema bila kushawishi walau nusu ya wanaCCM kupigia kura upinzani huwezi kuishinda CCM. Sasa habari mbaya/nzuri ni kuwa mwaka huu 2020 CCM wako wamoja kuliko 2015. Tatizo lingine ni kuwa hakuna jitihada katika kampeni za kuwaomba na kuwashawishi wanaCCM wampigie Lissu, sana sana wanatukanwa na kuitwa "Ma-CCM".
Uchaguzi na ushindi ni suala la numbers naona upinzani hawajacheza vizuri namba zao na kwa hiyo wasishangae wakishindwa.
Tafiti upingwa na tafiti, kama unaona nilichowasilisha si sahihi, weka namba zako hapa tuone kama zinaubeba upinzani kushinda.
CCM watiifu walikuwepo miaka hio si leo na jana,2015 kama hujui CCM walipigwa na chini wakaenda kuvamia kituo cha majuuisho ambap tokeo ya upinzaniyakirushwa laivu.
Kwa kukuongezea akili ,watakaoipigia kura CCM ni baadhi ya wale wanaokaa meza kuu na kwenye viti ,waongeza vichwa wote kura zao kwa Lisu ,hao wanao hudhuria mikutano,huku uraiani CCM hana kura,kila kura za watu mia ccm anapata kura 20.
Labda wewe na baba ako wanufaika wa mfumo mbovu wa CCMHuijui ccm wewe. Hiki Chama kimekaza Sana sasa hivi kuliko 2015.Oct 28 kitakushangaza vibaya mno.