CCM wataweka kura za maruhani na hata mshindi atapa asilimia kumi bado atatangazwa kuwa rais cause katiba inataka simple majority.Ili kunogesha uchaguzi mwaka huu wagombea wawe kama ifuatavyo:-
1. CCM - Mh. J P Magufuli
2. CHADEMA - Mh. Tundu A Lissu
3. ACT - Mh. Benard Membe
Nina hakika mshindi hatavuka 60% na wengine watakuwa na 40%.
Yani at least hapa kidogo wanaweza pambana na CCM lakini wakisema waungane vyama vyote wamsimamishe MEMBE yani watapigwaa wachakae mapema sanaaa...Ili kunogesha uchaguzi mwaka huu wagombea wawe kama ifuatavyo:-
1. CCM - Mh. J P Magufuli
2. CHADEMA - Mh. Tundu A Lissu
3. ACT - Mh. Benard Membe
Nina hakika mshindi hatavuka 60% na wengine watakuwa na 40%.
💪Kwanza kitendo cha Membe kusema vyama vya upinzani vikiungana na kumuomba agombee ni kuvidhalilisha sana vyama husika.
Ina maana Membe ni mkubwa kuliko vyama hivyo mpaka aende kupigiwa magoti kwenda kugombea ?
Je dhamira yake ikoje juu ya mageuzi ya nchi hii au anaenda kuingiza kutafuta uongozi wa nchi.
Membe akagombee kwa mkewe atuache na vyama vyetu tunawagombea wengi sana wa kuweza kugombea urais.
Kama CHADEMA na ACT - WAZALENDO na washirika wao wataingia kwenye mtego huu wa wazi kabisa wa CCM, tutawashangaa mno....!!
Kuna dalili kuwa ACT - Wazalendo watampokea Benard Membe na watampa fursa ya kuwania Urais....
ACT - Wazalendo wakifanya hivyo, tayari kutakuwa na mgogoro kwenye muungano wao na mkakati wa "SYSTEM" kuudhoofisha upinzani utakuwa umefanikiwa....
Sisi kazi yetu ni kutahadharisha. Bernard Membe na CCM ni pete na kidole. Wako pamoja tangu mwanzo hata sasa....
Kubwabwaja bwabwaja kwenye vyombo mbalimbali vya habari kwa Bernard Membe huku akionekana kukishambulia chama chake (CCM), serikali na Rais aliye madarakani sasa toka ndani ya chama chake, yote hiyo ni sehemu ya mkakati uliopangwa vyema huku wasiojua wakipumbazika...
Yote haya ya kufukuzwa uanachama yeye MEMBE na wenzake wale kujifanya walikosea na kuomba radhi na kisha kuonekana kama wamesamehewa ni sehemu ya mkakati thabiti na kuwapumbaza wapinzani wanaotaka kui - replace CCM ktk utawala wa nchi na dola....
Watch out, mtaingia mkenge wa hatari...!!
Umefafanua vizuri sana mkuu, wapinzani wasithubutu kudanganywa na sinema za CCM.Kama CHADEMA na ACT - WAZALENDO na washirika wao wataingia kwenye mtego huu wa wazi kabisa wa CCM, tutawashangaa mno....!!
Kuna dalili kuwa ACT - Wazalendo watampokea Benard Membe na watampa fursa ya kuwania Urais....
ACT - Wazalendo wakifanya hivyo, tayari kutakuwa na mgogoro kwenye muungano wao na mkakati wa "SYSTEM" kuudhoofisha upinzani utakuwa umefanikiwa....
Sisi kazi yetu ni kutahadharisha. Bernard Membe na CCM ni pete na kidole. Wako pamoja tangu mwanzo hata sasa....
Kubwabwaja bwabwaja kwenye vyombo mbalimbali vya habari kwa Bernard Membe huku akionekana kukishambulia chama chake (CCM), serikali na Rais aliye madarakani sasa toka ndani ya chama chake, yote hiyo ni sehemu ya mkakati uliopangwa vyema huku wasiojua wakipumbazika...
Yote haya ya kufukuzwa uanachama yeye MEMBE na wenzake wale kujifanya walikosea na kuomba radhi na kisha kuonekana kama wamesamehewa ni sehemu ya mkakati thabiti na kuwapumbaza wapinzani wanaotaka kui - replace CCM ktk utawala wa nchi na dola....
Watch out, mtaingia mkenge wa hatari...!!
Naungo mkono hili 💯Kuhusu Lowassa miaka ya nyuma watu walizungumza hivi hivi, tukawabeza. Leo tunaona matokeo yake.
Mungu anisamehe ila mimi ninaamini Wapinzani wa kweli ni akina LISSU, MDEE, MSIGWA n.k
Hata Mbowe sina imani nae. Natamani LISSU ndo apeperushe bendera CDM post ya Urais.
Wajitahidi wawe makini, CCM imeanza kujiandaa na uchaguzi wa 2020 punde tu baada ya uchaguzi wa 2015. Zile drama za akina Nape, Membe, Makamba n.k zisimpumbaze mtu, wale wote lao moja.Na ndio maana anataka Waungane ili awafanye kitu kibaya kwa pamoja ze Nyumbus[emoji233][emoji233]
Kuhusu Lowassa miaka ya nyuma watu walizungumza hivi hivi, tukawabeza. Leo tunaona matokeo yake.
Mungu anisamehe ila mimi ninaamini Wapinzani wa kweli ni akina LISSU, MDEE, MSIGWA n.k
Hata Mbowe sina imani nae. Natamani LISSU ndo apeperushe bendera CDM post ya Urais.
Tangia 2015 Mbowe na CDM wamejitahidi sana kuwa makini na chama, nani wanamkaribisha na nani wanampa nafasi. Hata kwenye kushirikiana na vyama vingine wamekua makini pia.Uko sahihi na nakubaliana na wewe kabisa....
Tutatofautiana kwa Mbowe. Huyu Mzee ni mwanasiasa mwenye msimamo sana. Hayumbishwi wala kuhadaiwa na chochote....
Angekuwa ni mwanasiasa jamii ya "popo" kama wale kina John Momose Cheyo (UDP), Agustino Lyatonga Mrema (TLP), Prof. Ibrahimu Haruna Lipumba (CUF) , nakuhakikishia CHADEMA isingekuwa hii inayowachachafya watawala na chama chao chakavu - CCM......
Ingeshakuwa CHADEMA jina tu kama ilivyo TLP ama PPT - Maendeleo na vingine vya namna hiyo...
Wajitahidi wawe makini, CCM imeanza kujiandaa na uchaguzi wa 2020 punde tu baada ya uchaguzi wa 2015. Zile drama za akina Nape, Membe, Makamba n.k zisimpumbaze mtu, wale wote lao moja.
Khabari ndio hiyo mkuuWajitahidi wawe makini, CCM imeanza kujiandaa na uchaguzi wa 2020 punde tu baada ya uchaguzi wa 2015. Zile drama za akina Nape, Membe, Makamba n.k zisimpumbaze mtu, wale wote lao moja.
mpuuzi wewe mataga mkubwa . . nendeni huko na membe wenuMimi naona bora tumsimamishe membe kuliko yule msaliti aliyekuwa anatetea Mabeberu yatuibie madini yetu
Utakuwa ni uzandiki na tena ushenzi wa kiwango kisichomithilika kama membe atapitishwa na upinzani maana kwa asili wanamjua ni nani na kwa vyovyote hana mapenzi wala nia ya dhati kiivyo kwa vyama vya upinzani.Kutenda kosa sio kosa bali kurudia kosa ni kosa kubwa, vyama vya upinzani vikiongozwa na CHADEMA vilifanya kosa la namna hii mwaka 2015, litakua jambo la ajabu kama watakua hawajifunza kutokana na maamuzi yale ya hovyo na yanayo kigharimu chama hadi leo hii.
Kweli kabisaKwangu ni afadhali kukosa kura lakini una jeshi lako unaloliamini na siku nyingine mnaweza kuvuka. CDM hata kama wangeshindwa wakiwa na Slaa naamini sasa wangekuwa imara zaidi.