Upinzani mmepewa mbinu nyingine ya ushindi, akili kichwani

Upinzani mmepewa mbinu nyingine ya ushindi, akili kichwani

fenestra rotunda

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2015
Posts
608
Reaction score
616
Kwa yanayoendelea mpaka sasa sijajua ni kwa jinsi gani upinzani umejiandaa kulinda kura zao kuanzia level ya vituo vya kupigia kura ambavyo viko 88k+ nchi nzima. Ila hilo halinifanyi niache kuwashauri hata kama tayari wanazo mbinu Mbadala.

Kwa harakaharaka utagundua kuna mchezo unapangwa na utachezwa kwenye hivi vituo kutokana na hii idadi tatanishi ya wapiga kura ambayo ni 29M+

Ningependa wapinzani wafanye randomly uhakiki wa wapiga kura, maana hapo bao la mkono la Masaki linaandaliwa, na halitakwepeka wakizembea.

Kama vituo vya kura vipo elfu 88 basi inabidi waandae Sehemu zao za kupokea matokeo ya kila kituo na kuyaandika online, wasikae sehemu moja, kulingana na advance ya technology kwa sasa kuna zoom meeting, kuna Telegram wanaweza wakala wakajiunga kwenye magroup na kupost matokeo nchi nzima, kisha wakala wakisha hesabu watume fasta kwenye group na kila group liwe na mtu ambaye atakuwa ana update makao makuu! Then wapige hesabu ya jumla. Sasa sijui kama kweli na wao wanashaurika au wanaamini wanajitosheleza.

Courtesy of Savimbi junior.
 
Upk sawa kabisa , hii itasaidia kupata taarifa na takwiimu zitakazo saidia kupatikana kwa uwazi na haki walau kwa kiasi flani.
 
Back
Top Bottom