Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Dalili na ishara ni za wazi na bayana kabisa, kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024 na ule uchaguzi mkuu mapema oct.2025, itakua na miongoni mwa chaguzi za wazi sana, huru sana na za haki mno, ambazo pia ni rahisi sana kuwahi kufanyika nchini Tanazania, katika mazingira rafiki, huru, sawa na ya wazi kwa vyama vyote vya kisiasa kufanya kazi zao nchini.
Cha kushangaza hawafanyi chochote ukilinganisha na shauku ya kudai mazingira ya kuadai mikutano walokua nayo kabla hapo nyuma kidogo.
Ushindi wa wa wazi na wa kishindo unanukia kwa chama tawala.
Uanadhani vyama vya siasa upinzani vinakwama wapi au vimeridhishwa na uongozi madhubiti wa serikali sikivu ya CCM chini ya mwana mama shupavu sana, rais Dr.Samia Suluhu Hassan?