Upinzani nchini umekata tamaa, umeishiwa pumzi, au umeridhika na uongozi uliopo nchini

TZ Hakuna wapinzani wa kisiasa wapo wanasiasa uchwara wenye maslahi yao

tume huru ya uchaguzi ni muhimu kuwepo na ifikie wakati kupiga kura iwe ni lazma kisheria kwa wale wanaojiandikisha
 
Tanzania hakuna uchaguzi Bali Kuna maonyesho ya ujinga ww mtu mweusi kwenye box la kura. Chama la majuzi mmeshurutisha kukaa madarakani bila ridhaa ya wananchi, kisha wa,nanchi wakiambiwa ukweli kuhusu chama la majizi mnasema wanapandikiziwa chuki.

Ukitaka kujua watu wamechoka na hilo chama la majizi subiri hao viongozi walioingia madarakani kwa chaguzi za kishenzi waitishe mikutano, bila vitisho na kuhonga watu hawajitokezi kabisa. Na ukitaka kujua watu wamechoka na hilo chama la majizi na chaguzi za kishenzi, subiri uone idadi ya wapiga kura itakavyokuwa ndogo. Mwezi ujao wanaanzia kuboresha daftari la wapiga kura, ngoja uone kama kutakuwa na idadi ya kuridhisha kwenye huo utopolo.
we km si mwehu basi unaumwa
 
TZ Hakuna wapinzani wa kisiasa wapo wanasiasa uchwara wenye maslahi yao

tume huru ya uchaguzi ni muhimu kuwepo na ifikie wakati kupiga kura iwe ni lazma kisheria kwa wale wanaojiandikisha
Lazima ili uziibe vizuri,zitoshe au🤣
 
Tanzania hakuna uchaguzi Bali Kuna maonyesho ya ujinga ww mtu mweusi kwenye box la kura. Chama la majuzi mmeshurutisha kukaa madarakani bila ridhaa ya wananchi, kisha wa,nanchi wakiambiwa ukweli kuhusu chama la majizi mnasema wanapandikiziwa chuki.

Ukitaka kujua watu wamechoka na hilo chama la majizi subiri hao viongozi walioingia madarakani kwa chaguzi za kishenzi waitishe mikutano, bila vitisho na kuhonga watu hawajitokezi kabisa. Na ukitaka kujua watu wamechoka na hilo chama la majizi na chaguzi za kishenzi, subiri uone idadi ya wapiga kura itakavyokuwa ndogo. Mwezi ujao wanaanzia kuboresha daftari la wapiga kura, ngoja uone kama kutakuwa na idadi ya kuridhisha kwenye huo utopolo.
kwani wakuu wa shule si wanapigwa biti waende kwenye ziara za katibu mkuu wa ccm yaani wanatishiwa kabisa eti wasipoenda watajieleza😂😂😂😂 ilimradi paonekane pamejaa...
 
Dalili na ishara ni za wazi na bayana kabisa, kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024 na ule uchaguzi mkuu mapema oct.2025, itakua na miongoni mwa chaguzi za wazi sana, huru sana na za haki mno, ambazo pia ni rahisi sana kuwahi kufanyika nchini Tanazania, katika mazingira rafiki, huru, sawa na ya wazi kwa vyama vyote vya kisiasa kufanya kazi zao nchini.

Cha kushangaza hawafanyi chochote ukilinganisha na shauku ya kudai mazingira ya kuadai mikutano walokua nayo kabla hapo nyuma kidogo.

Ushindi wa wa wazi na wa kishindo unanukia kwa chama tawala.

Uanadhani vyama vya siasa upinzani vinakwama wapi au vimeridhishwa na uongozi madhubiti wa serikali sikivu ya CCM chini ya mwana mama shupavu sana, rais Dr.Samia Suluhu Hassan? :pulpTRAVOLTA:
wewe ni mjinga usiyejielewa ile mikutano inayofanyika kule mikoani ninini sasa? kuishiwa pumzi unapimaje wakati kuna baadhi ya maeneo wanakatazwa viwanja vya kufanyia mikutano? unamkataza mtu aliyeishiwa pumzi?
ukute na wewe ni wale mnaotaka mtandao wa x ufungwe? bila kuangalia mapato yatokanayo, ajira nk
nchi ina watu wa hovyo sana hii? lakini hatuwalaumu haya ni matokeo ya
BETTING
 
SASAHIVI HAWAPO KWENYE SIASA TENA WAPO KUGAWANA FITO TU HAO
 
wewe ni mjinga usiyejielewa ile mikutano inayofanyika kule mikoani ninini sasa? kuishiwa pumzi unapimaje wakati kuna baadhi ya maeneo wanakatazwa viwanja vya kufanyia mikutano? unamkataza mtu aliyeishiwa pumzi?
ukute na wewe ni wale mnaotaka mtandao wa x ufungwe? bila kuangalia mapato yatokanayo, ajira nk
nchi ina watu wa hovyo sana hii? lakini hatuwalaumu haya ni matokeo ya
BETTING
njia nzur ya kutoa maoni vizur kwa usahihi ukaeleweka vizur ni kujiepusha na ghadhabu na mihemko isiyo na tija wala maana yoyote 🐒

lakini pia kua na visingizio ambavyo ni dhaifu sana na zaidi ya hapo ni vya upotoshaji wa wazi wazi kabisa kwamba eti kuna mahali vyama vya kiasa vinazuiliwa kufanya kazi zao au mikutano ya hadhara 🐒

mbaya zaidi,
haijulikani unazungumzia kukosa pumzi kwa vyama vya siasa, mtandao wa X, ajira au betting....

miongoni mwa athari za mihemko ni kukosa utulivu, uelekeo, hekima na busara za kawaida kusimamia unachokiamini bali kubabaiki na kutangatanga na kudandia kuzungumza kila jambo 🐒
 
Screenshot_20240612-103559_1.jpg
 
Dalili na ishara ni za wazi na bayana kabisa, kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024 na ule uchaguzi mkuu mapema oct.2025, itakua na miongoni mwa chaguzi za wazi sana, huru sana na za haki mno, ambazo pia ni rahisi sana kuwahi kufanyika nchini Tanazania, katika mazingira rafiki, huru, sawa na ya wazi kwa vyama vyote vya kisiasa kufanya kazi zao nchini.

Cha kushangaza hawafanyi chochote ukilinganisha na shauku ya kudai mazingira ya kuadai mikutano walokua nayo kabla hapo nyuma kidogo.

Ushindi wa wa wazi na wa kishindo unanukia kwa chama tawala.

Uanadhani vyama vya siasa upinzani vinakwama wapi au vimeridhishwa na uongozi madhubiti wa serikali sikivu ya CCM chini ya mwana mama shupavu sana, rais Dr.Samia Suluhu Hassan? :pulpTRAVOLTA:
CCM milele, wanajua kucheza mchezo wa siasa "divide and rule ". All the best CCM, keep it up!
 
Kuna siku CCM watagundua Wapinzani sio Chadema bali ni wananchi wenyewe. Watakuwa wamechelewa sana.
Wanajua hivyo sana tu tangu enzi za JK.

Tena ukisema wananchi jua ni pamoja na walio ndani ya CCM, serikalini hata katika vyombo vya dola lakini hawana ujasiri wa kujitokeza kwa kuogopa madhara na kupoteza fursa.

Wanaitumia CHADEMA kama nyenzo ya kupenyezea kero zao anonymously kama ilivyo JF. Ndio sababu ya nguvu kubwa inayotumika kutaka kuiua CHADEMA na baadhi ya makada wake kwa kila namna. Bahati mbaya CHADEMA sasa ni kubwa zaidi ya mtu mmoja mmoja. It has outgrown its founders.
 
kwahiyo wanakatimia kachadema sio, eti ee 🤣

kwamba chadema sio mtu moja 🤣

hawa wengine wanabwekabweka na kulia lia nini sasa pembeni pembeni kana si kitu ya mtu moja 🐒
 
wengineo wamekwamia wap unadhani 🐒
Mkuu wasaidie wanaojibu mada zako wakuelewe wewe ni nani. Wengi wanafikiri uko nao kwenye kutafuta uongozi bora wa nchi - good governance kumbe sivyo kabisa!

Unapotoa mada iliyopinda basi jaribu kuwapa mwanga wadau kuhusu unakoelekea ili upate stahili yako.

Waweke sawa wajue kuwa wewe focus yako iko kwenye mikakati bora ya ushindi wa “siasa maslahi” (political expediency), period. Hivi sasa uko CCM ambako ndiko kwenye maslahi na nyenzo za ushindi - haijalishi hata kama ni chafu. The end justifies the means (Machiavelli).

Kwako ni kazi ya wapinzani nao kutafuta mbinu zozote zile (chafu zaidi) kuzipiku hizo mbinu chafu za CCM ili kuwapokonya dola. (CCM kamwe haitawapa wapinzani dola kwenye kisahani). Na naamini wakifanikiwa utahamia kwao. Si ndio political expediency hiyo, sio?

You’re really twisted but not an idiot, I presume.😅
 
kwahiyo wanakatimia kachadema sio, eti ee 🤣

kwamba chadema sio mtu moja 🤣

hawa wengine wanabwekabweka na kulia lia nini sasa pembeni pembeni kana si kitu ya mtu moja 🐒
Wanaobwekabweka na kulia lia pembeni pembeni umewasikiaje? Mko pamoja huko pembeni? Mimi niliowasikia nimesikia wakiongea hadharani kwenye media na mikutanoni.

CCM wanaoongea pembeni ni wengi tu. Ni chama cha mtu au kundi?

Be honest.
 
Dalili na ishara ni za wazi na bayana kabisa, kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu2024 na ule uchaguzi mkuu mapema oct.2025, itakua na miongoni mwa chaguzi za wazi sana, huru sana na za haki mno, ambazo pia ni rahisi sana kuwahi kufanyika nchini Tanazania, katika mazingira rafiki, huru, sawa na ya wazi kwa vyama vyote vya kisiasa kufanya kazi zao nchini.

Cha kushangaza hawafanyi chochote ukilinganisha na shauku ya kudai mazingira ya kuadai mikutano walokua nayo kabla hapo nyuma kidogo.

Ushindi wa wa wazi na wa kishindo unanukia kwa chama tawala.

Uanadhani vyama vya siasa upinzani vinakwama wapi au vimeridhishwa na uongozi madhubiti wa serikali sikivu ya CCM chini ya mwana mama shupavu sana, rais Dr.Samia Suluhu Hassan? :pulpTRAVOLTA:
Ujinga wa watanzania ni kudhani viongozi wa upinzani ndio wataleta mabadiliko wananchi tukiwa watazamaji, wakati wenzetu wananchi kwa umoja wao huleta mageuzi.
 
Ila wewe Tlaatlaah hiyo avata yako na aina ya michango yako hapa jukwaani ni mbingu na ardhi. Huyo jamaa kwenye avata yako alikuwa mtu haswa na inaonekana ulimkubali ndio maana ukatumia picha yake.
Ila wewe ni mburura.
 
ni kama wewe tu na avatar yako, maoni, mtazamo, michango na hata mada zako zinaendana kabisa na ulivyo kiuhalisia, yani ni pete na chanda chake kabisa na huyo kiongozi wangu mwandamizi 🐒
 
Back
Top Bottom