Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,500
- 7,432
Vyama vya upinzani niwaombe turejee kwenye UKAWA I ule wa mwaka 2015 ulitusaidia kuleta wabunge wengi bungeni,na kiasi fulani watanzania waliona tija ya upinzani kwa sababu muda umekwenda mnaweza kukubaliana baadhi ya maeneo mkaachiana majimbo,na nafasi ya Urais,kama kweli mna nia ya dhati kuwatumikia watanzania