ok tusubiliTayari imeshajishindia,hii nguvu inatoka humo humo ndani
kila muungano wa wapinzani unaouona Tanzania ujue una baraka za ccmVyama vya upinzani niwaombe turejee kwenye UKAWA I ule wa mwaka 2015 ulitusaidia kuleta wabunge wengi bungeni,na kiasi fulani watanzania waliona tija ya upinzani kwa sababu muda umekwenda mnaweza kukubaliana baadhi ya maeneo mkaachiana majimbo,na nafasi ya Urais,kama kweli mna nia ya dhati kuwatumikia watanzania