G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Acha ujinga Membe hawezi kwenda upinzani hata kama amefukuzwa na akienda hawezi kugombea uraisi huko, Membe atakuja kugombea uraisi kupitia ccm 2025.
HahahaaaWewe nani alikuambia tunataka kumsimamisha Membe? Ujinga wakati wa kwenda tu,na kosa kurudia kosa. Huyu Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu.
Sent using Jamii Forums mobile app
unless of course USA wa intervene, which is a huge possibility ambayo imekuwa strengthened na kufurushwa kwa Membe kutoka chamani kwa vile tu anataka kugombea urais vs JPM.Vyovyote unavyoweza kusema, ukweli ni kwamba Magufuli ataendelea kuwa Rais wetu kwa muhula mwingine.
Hee bado mpo kwenye zama za kutegemea mabeberu. Utumwa utawaisha lini? Hakuna cha USA wala shangazi yake. Tanzania ni nchi huru hakuna wa kuingilia. Kama mnadhani mtaingia madarakani kwa kutegemea fadhila za mataifa ya nje then mmefeli sana.unless of course USA wa intervene, which is a huge possibility ambayo imekuwa strengthened na kufurushwa kwa Membe kutoka chamani kwa vile tu anataka kugombea urais vs JPM.
USA (achilia mbali EU, WB, IMF, Scandinavians, etc) ni wadau wakubwa wa uchaguzi wetu 2020 na tayari washatuma 3 strong messages kwa JPM:
1. wamedai uchaguzi uwe huru or else...
2. wamem block JPM (indirectly thru Bashite) kuingia USA
3. wamefuta green cards kwa Watz
Membe usirudi nyuma kugombea ni haki yako ya kikatiba, hata sisi tumemchoka tutakuunga mkono
Sidhani kama huyu anaweza kutulia. Na ndicho kilichomgharimu uwanachama wake. Maana hata baada ya kuhojiwa aliendelea kutokutulia.Mkuu, Membe agombee urais kwa msingi wa katiba ipi? Akiwa bungeni alishindwa kusimamia mabadiliko ya katiba sasa leo anataka urais. Kwa ufupi asiweweseke atulie hapo hapo alipo. Kafukuzwa uwanachama sawa, je card yake ya uwanachama vipi? Anairudisha au inakuwa deleted from data base ya uwanachama? Kama baado anayo anaesabika baado. Amefukuzwa verbally tu through media. Atulie tu wanamtikisa tu. CCM waoga sana wanacheza na weakness zake. Membe asiropoke hovyo atulie kwa muda.
Yaani Rostam wakati anajihuzulu ubunge pale Igunga,alisema anaachana na siasa za majitaka,leo anafikili tumesahau?na akajifanya amehamia kanada kama sijakosea,lakini si ajabu mwaka huu akapata Jimbo.
CCM ya JPM inategemea mapolisi. Watanzania ni watu huru hatutaki utawala wa kipolisi.Hee bado mpo kwenye zama za kutegemea mabeberu. Utumwa utawaisha lini? Hakuna cha USA wala shangazi yake. Tanzania ni nchi huru hakuna wa kuingilia. Kama mnadhani mtaingia madarakani kwa kutegemea fadhila za mataifa ya nje then mmefeli sana.
Sidhani kama huyu anaweza kutulia. Na ndicho kilichomgharimu uwanachama wake. Maana hata baada ya kuhojiwa aliendelea kutokutulia.
Strategy zake za kuusaka Urais ziko butu sana. Mtu kama huyu hafai kuwa rais Wa JMT
Kwahiyo nyinyi mliingia madarakani mwaka 1961 kwa kujitegemea wenyewe solely?Hee bado mpo kwenye zama za kutegemea mabeberu. Utumwa utawaisha lini? Hakuna cha USA wala shangazi yake. Tanzania ni nchi huru hakuna wa kuingilia. Kama mnadhani mtaingia madarakani kwa kutegemea fadhila za mataifa ya nje then mmefeli sana.
Mm namshauri Membe akaitafute haki yake mahakamani