Uchaguzi 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

Uchaguzi 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

Yale yale ya Lowassa hatutaki kwanza mi sipigi kura mpaka ipatikane tume huru
 
Vyovyote unavyoweza kusema, ukweli ni kwamba Magufuli ataendelea kuwa Rais wetu kwa muhula mwingine.
unless of course USA wa intervene, which is a huge possibility ambayo imekuwa strengthened na kufurushwa kwa Membe kutoka chamani kwa vile tu anataka kugombea urais vs JPM.

USA (achilia mbali EU, WB, IMF, Scandinavians, etc) ni wadau wakubwa wa uchaguzi wetu 2020 na tayari washatuma 3 strong messages kwa JPM:

1. wamedai uchaguzi uwe huru or else...
2. wamem block JPM (indirectly thru Bashite) kuingia USA
3. wamefuta green cards kwa Watz
 
Hee bado mpo kwenye zama za kutegemea mabeberu. Utumwa utawaisha lini? Hakuna cha USA wala shangazi yake. Tanzania ni nchi huru hakuna wa kuingilia. Kama mnadhani mtaingia madarakani kwa kutegemea fadhila za mataifa ya nje then mmefeli sana.
 
Membe usirudi nyuma kugombea ni haki yako ya kikatiba, hata sisi tumemchoka tutakuunga mkono

Mkuu, Membe agombee urais kwa msingi wa katiba ipi? Akiwa bungeni alishindwa kusimamia mabadiliko ya katiba sasa leo anataka urais. Kwa ufupi asiweweseke atulie hapo hapo alipo. Kafukuzwa uwanachama sawa, je card yake ya uwanachama vipi? Anairudisha au inakuwa deleted from data base ya uwanachama? Kama baado anayo anaesabika baado. Amefukuzwa verbally tu through media. Atulie tu wanamtikisa tu. CCM waoga sana wanacheza na weakness zake. Membe asiropoke hovyo atulie kwa muda.
 
Sidhani kama huyu anaweza kutulia. Na ndicho kilichomgharimu uwanachama wake. Maana hata baada ya kuhojiwa aliendelea kutokutulia.

Strategy zake za kuusaka Urais ziko butu sana. Mtu kama huyu hafai kuwa rais Wa JMT
 
Hee bado mpo kwenye zama za kutegemea mabeberu. Utumwa utawaisha lini? Hakuna cha USA wala shangazi yake. Tanzania ni nchi huru hakuna wa kuingilia. Kama mnadhani mtaingia madarakani kwa kutegemea fadhila za mataifa ya nje then mmefeli sana.
CCM ya JPM inategemea mapolisi. Watanzania ni watu huru hatutaki utawala wa kipolisi.

so, sisi wananchi tukiwategemea mabeberu msianze kulialia. acheni kutegemea mapolisi nasi tutaacha kutegemea mabeberu.

ngoma draw dadeki!!
 
Sidhani kama huyu anaweza kutulia. Na ndicho kilichomgharimu uwanachama wake. Maana hata baada ya kuhojiwa aliendelea kutokutulia.

Strategy zake za kuusaka Urais ziko butu sana. Mtu kama huyu hafai kuwa rais Wa JMT

For sure kwa upande wangu, kila nae msikia na kuona kuwa anataka urais kabla katiba ile ile, ni mwizi tu pia. Mimi nasema kama kweli CCM wanajiamini kuwa wao ni safi, katiba mpya iwekwe mezani halafu watizame vijana amabao wanajitambua watakavyo ibuka na mambo ambayo hawajawahi kusikia wala kutarajia. CCM itaporomoka kama KANU ya Kenya. Kwa sasa hata ukiichukia CCM hakuna cha kuwafanya and it won't make any difference instead u just die slowly. Tume ya uchaguzi ikisha toa matokeo ya urais haihojiwi hapo hapo mkuu wa Tume husika anateuliwa na rais yule yule. Sasa atakuwa vipi against his boss? Alafu mtu mwenye elimu yake anamka asubuhi eti nae anasimama kuutaka urais chini ya katiba ile ile? Wanamdanganya nani? Kila atakae simama kuutaka urais kama mpizani chini ya katiba ile ile, the difference is just the similarity lakini ni wale wale.
 
Hee bado mpo kwenye zama za kutegemea mabeberu. Utumwa utawaisha lini? Hakuna cha USA wala shangazi yake. Tanzania ni nchi huru hakuna wa kuingilia. Kama mnadhani mtaingia madarakani kwa kutegemea fadhila za mataifa ya nje then mmefeli sana.
Kwahiyo nyinyi mliingia madarakani mwaka 1961 kwa kujitegemea wenyewe solely?
 
Mm namshauri Membe akaitafute haki yake mahakamani

Mkuu uko sahihi kabisa. Lakini akienda mahakamani je anayo barua ya kufukuzwa au it was done verbally kwenye vyombo vya habari? Kwa vile baado kadi ya uwanachama wa CCM anayo baado ni mtoto wa nyoka tu. Unajua CCM wako smart sana kumvuruga mtu akili wakiona ni hatari kwao. Ndio maana mm nadhani Membe angetulia kwanza akae kimya.
 
Membe njoo chadema ugombee urais,tutakusafisha ufisadi wako wote wa mabilioni ya Libya.

Chama chetu hakibagui mtu uwe mwizi ,mchawi na fisadi sisi hatutajali ili mradi tu unatuletea wana chama wa kutosha na ruzuku yetu inaongezeka..

Nakushauri ukimbilie chadema kwa sababu chama chetu kina uzoefu wa kubadili gia angani na kupokea na kusafisha mafisadi tangu mwaka 2015.

Kabla hujachelewa Membe umeguswa ,sasa nuka ukielekea chadema na sisi tutakupokea kwa kishindo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini huu ni hadaa Kwa wapinzani. Membe ni CCM Jana, Leo na Kesho.

Membe na magufuli wote ni waseminari

Upinzani nchini na wapiga zumari wa dunia juu ya democracy wamekwisha kua outsmarted at least Kwa 2020.

Naamini haya yanayotokea juu yake iwe ni Kwa utambuzi wake au yeye kutotambua ni mkakati maalumu ulioandaliwa na mtu mwenye akili kubwa Kwa maslahi mapana ya nchi yetu.

Uchaguzi 2020 sio poa. Hasa kule....
Hata hivo lazima CCM na Magufuli washinde.

Ni mawazo binafsi.
 
Back
Top Bottom