Uchaguzi 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

lisemwalo lipo na kama halipo linakuja, usikate jambo kwa dhana na usikubali jambo kwa kudhani la kweli
 
Ntahamia south sudan member akiwa rais wa Tz.
 
..jiwe angekuwa serious dhidi ya ufisadi asingekubali kuungana na watu kama rostam azizi,babu seya, madabida,..

..kinachowaponza maraisi wetu ni kofia ya uenyekiti wa ccm.

..hiki chama hakiwezi kujiendesha bila nguvu na rasilimali za MAFISADI.

..Utakuta Raisi anaingia na spidi ya kupambana na ufisadi lakini spidi hiyo inaishia njiani.

..Kila Raisi alikuja na moto wake ambao ulizimika miaka 2 au 3 wakiwa madarakani.

..Mzee Mwinyi [ fagio la chuma],

..Mzee Mkapa [ ripoti ya Warioba / kumshtaki Nalaila Kiula na Dr.Mlingwa]

..Mzee Kikwete [ kumshtaki Mramba na Yona].

..Magufuli [ kumkamata Rugemalira].

..Sidhani kama Magufuli atakuwa tofauti na watangulizi wake. Dalili zimeshaanza kujionyesha

Cc BAK, Nguruvi3, Pascal Mayalla
 
MEMBE HAWEZI KURUDI NYUMA KAMWE.

KUGOMBEA NI TAKWA LA KIKATIBA KILA MIAKA MITANO.

MCHAKATO WA NANI AWE WANACCM TUNAAMUA ,HIVYO ADHIMA YA MEMBE KAMA IPO ITAUNGWA MKONO.

NAAM MEMBE NI MTU SAHIHI KWA WAKATI SAHIHI.

MEMBE ANAHITAJIKA ZAIDI SASA KULIKO WAKATI WOWOTE ULE.

Tuna imaaani na Benard Membe oye oyee meeeembe oyeee membe oye oye.....🎶🎸🎺🎷🎸🎸

MEMBE AMECHUKUA AMEWEKA WAAA MTAJIFICHA WAPI ?
 
l/QUOTE="MKWEPA KODI, post: 31480164, member: 341224"]
Membe usirudi nyuma kugombea ni haki yako ya kikatiba, hata sisi tumemchoka tutakuunga mkono
[/QUOTE]
Agombee chama gani?
 
Nikikumbuka Membe alivyokuwa anatukanwa humu nashangaa leo amekuwa mwokozi!
Kama mwananchi wa kawaida niliyewahi kusikia mahojiano ya membe na chombo fulani hivi cha habari cha kimataifa.. Bila shaka Membe ni kipenzi cha wengi wanaotaka mwenye nchi amuachie ngazi maana anaonekana na haiba ya mzee wetu aliyepita, Hii haihusiani na muelekeo wa nchi wala uwezo binafsi wa membe..

Msiojulikana na wenye mahaba tafadhalini tusitafutane.ugali wa uraiaji bado naupenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…