Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unamsema ROSTA au?Team tangatanga bado ipo kazini,imeacha kujenga Chama chao wenyewe sasa kusikia CCM nani agombee.Kibaya hata wale waliokuwa wanawatukana sasa kwao ni lulu.
Nadhani, watu wanaona "mwokozi" sio kwa maana, eti ni bora zaidi ya watanzania 14,000,000 wenye sifa ya kushika nafasi hiyo BALI kwa kulinganisha kati ya watu 2 yaani "STONE TANGAWIZI" na "YEYE"Nikikumbuka Membe alivyokuwa anatukanwa humu nashangaa leo amekuwa mwokozi!
Si mmchukue huko kwenu? Huko kwenu hamna mgombea urais 2020Membe usirudi nyuma kugombea ni haki yako ya kikatiba, hata sisi tumemchoka tutakuunga mkono
Kama nchi tunatekeleza mipango ya mtu binafsi au mipango ya chama chake kilichomteua?Siyo mbaya hata kidogo. Si atasema mipango yake? Tutamsikiliza.
Kwani ilani ya chama chini ya JK ni tofauti na sasa?Kama nchi tunatekeleza mipango ya mtu binafsi au mipango ya chama chake kilichomteua?
Membe Backup ya Mwanamke Hana
Tunamuelewa kwa lugha zote hata kwa KimakuaNikikumbuka Membe alivyokuwa anatukanwa humu nashangaa leo amekuwa mwokozi!
Anatamani kazi nyingi mno; IGP, ubunge wa Arumeru Mashariki, u padre, u waziri wa michezo, u malaika mkuu.Kumbe hata wenyewe wamemchoka!
Mimi naamini mzee babaKuna ripoti ilishawahi kutoka ikionesha kuwa TANZANIA watu wake ni vinara wa UNAFIKI duniani, sitaki kuamini hili moja kwa moja
PREPARE PHYSCHOGICALY ! WATU WANASUBIRI 2020 WAFANYE YAO !Membe Backup ya Mwanamke Hana
coz "Mshua" kapokonywa umiliki na yule kafunguliwa
Membe kugombea na kushinda ni kitu Impossible
Kama mwananchi wa kawaida niliyewahi kusikia mahojiano ya membe na chombo fulani hivi cha habari cha kimataifa.. Bila shaka Membe ni kipenzi cha wengi wanaotaka mwenye nchi amuachie ngazi maana anaonekana na haiba ya mzee wetu aliyepita, Hii haihusiani na muelekeo wa nchi wala uwezo binafsi wa membe..Nikikumbuka Membe alivyokuwa anatukanwa humu nashangaa leo amekuwa mwokozi!