Ina Maana yeye mpaka sasa hajang'amua kuwa kuna jamaa wanataka kumchezea game?Yule Jamaa huwa anajiona ni MKubwa kuliko Tz na wote ni wajinga ye ndo mwenye akili,kumbe watu wametulia wanamchora tu atachexewa mchezo atoamini,ogopa sana watu wakimya.
Ni Ngumu Lakini Ni opt iliyosalia.
lakini c "kf" unachofikiri Ni "Spirtuality"
Mwisho anaachia.
Kwan "Mshua" Round ya pili alifanyaje?
hahaha Mengi hamyafahamu
Sio wote wanao angalia chini hawajiamini, wengine wanaakili nyingi, wanafikiria sana kabla ya kuongea, kuinua kichwa kunawatoa kwenye mstari kwa yale wanayoyafikiria kuongea.Mbona anaangalia chini kama mtu ambaye hajiamini au aliyelazimishwa kusema hayo anayoyasema
Hata wale waliokuwa wanaitwa mafisadi na JPM saivi wanaingia IKULU Kama kwao vile na press release zinatokaTeam tangatanga bado ipo kazini,imeacha kujenga Chama chao wenyewe sasa kusikia CCM nani agombee.Kibaya hata wale waliokuwa wanawatukana sasa kwao ni lulu.
Nisichokielewa ni kuwa, kuwaita mafisadi ni kwasababu ya ukata katika chama au sababu za kukwamua biashara za nchi! Sijui"JokaKuu, post: 31481348, member: 221"]
..jiwe angekuwa serious dhidi ya ufisadi asingekubali kuungana na watu kama rostam azizi,babu seya, madabida,.
Hii ni kwasababu wanataka kuwa ''secured'' dhidi ya yaliyomkuta Mbeki. Makundi ndani ya CCM yana nguvu sana kiasi kwamba ni tishio. Hata kama hayaonekani bado yanabaki kuwa na nguvu..kinachowaponza maraisi wetu ni kofia ya uenyekiti wa ccm.
Na ndicho kilichopora mali zilizojengwa kwa nguvu ya umma na kusema ni za CCM..hiki chama hakiwezi kujiendesha bila nguvu na rasilimali za MAFISADI.
Ni kwasababu hakuna mwongozo. Mapambano yanabaki kuwa utashi wa mtu na si utaratibu wa kisheria.Laiti vyombo kama Polisi vingekuwa huru kazi ya kupambana na ufisadi ingekuwa rahisi sana. Kwasasa ni ngumu kwasababu vyombo vyote vinawajibika kwa Rais..Utakuta Raisi anaingia na spidi ya kupambana na ufisadi lakini spidi hiyo inaishia njiani...Kila Raisi alikuja na moto wake ambao ulizimika miaka 2 au 3 wakiwa madarakani.
Ilikuwa moto tu wa kudhihirisha ni Mr Clean..Mzee Mkapa [ ripoti ya Warioba / kumshtaki Nalaila Kiula na Dr.Mlingwa]
Hapa hakukuwepo mapambano bali visasi vya kisiasa tu. Ndio mchezo unaondelea dhidi ya CAG..Mzee Kikwete [ kumshtaki Mramba na Yona].
Vita dhidi ya rushwa ni kubwa na ina mawaa sana. Kuna nyakati unalazimika kumkana nduguyo ili sheria ifanye kazi..Sidhani kama Magufuli atakuwa tofauti na watangulizi wake. Dalili zimeshaanza kujionyesha
Huyu muuza pembe za ndovu anaongea nini?
Umenichekesha sana kwa kunikumbusha siasa za Kenya na RutoTeam tangatanga bado ipo kazini,imeacha kujenga Chama chao wenyewe sasa kusikia CCM nani agombee.Kibaya hata wale waliokuwa wanawatukana sasa kwao ni lulu.
katiba ya CCM haina hicho kipengeleHivi kwani katiba ya ccm haisemi mtu akipitishwa na chama kugombea urais miaka mitano ni lazima asubiriwe hadi ahudumu kwa season zote mbili kabla ya kuitisha uchaguzi mwingine ndani ya chama kupata mgombea mwingine?
Umenikumbusha ya Biblia walipompelekea Yesu Mwanamke ambaye walisema wamemfumania akizini wakamtega Yesu kuwa anastahili kupigwa mawe hadi afe. Yesu aliangalia chini akawaambia asiye na dhambi ampige huyu Mwanamke mawe wakatoroka wote.Aliwapa jibu la akili sana akiwa anaangalia chini.Masai ukimuudhi ukiona kainama anaangalia chini kimbia akiinua uso anashindilia sime kwenye tumbo lakoSio wote wanao angalia chini hawajiamini, wengine wanaakili nyingi, wanafikiria sana kabla ya kuongea, kuinua kichwa kunawatoa kwenye mstari kwa yale wanayoyafikiria kuongea.
Ni mara 100 ya Membe kuliko mtu katili Kama Magufuli, hana huruma kabisa na maisha ya watuNikikumbuka Membe alivyokuwa anatukanwa humu nashangaa leo amekuwa mwokozi!
Ahh HAKUNA Cha kudadavua..Akili Kubwa na ukiweza kuunganisha dots UTAELEWA.Alafu ww unaonekana upo jikoni huko, hebu tudadavulie bhasi tujue kila kitu.
Aisee tulipata mkosi mkubwa mno kuwa na Rais wa ajabu na katili kiasi hiki, ameanzisha vita asiyoweza kushinda, eti anawachukia wazungu,, 2020 mataifa makubwa yataungana kuhakikisha anatoka madarakani mtu katili kabisa huyuHata ccm pia wajue wakimtoa magufuli tutawaunga mkono magufuli ameliumiza mno taifa ameigawa mno jamii he is a misfit indeed kiongozi lazima uwe unifying factor ss magu sio halafu ni katili mbaya anaejificha kwenye kivuli cha
Vyeti fake
Ghost workers
Stiglaz goj
Mabeberu
Uzalendo fake
Reli
Tunaibiwa kwelikweli
Nk
Hivyo ndio vichaka vyake vya kujifichia huku akiumiza taifa.// ccm wakituondolea hii shida sasa watabarikiwa LA hawakuiondoa damu zitakazomwagika na ziwe juu yao na vizazi vyao!!
Magufuli must go now to heal the nation!!
Gari linazama mtaroniNimejitahidi kusoma comment za watu ni nami naheshimu mawazo ya wenzangu. Ila swala la watu kuanza kumpigia compaini Mr Membe naona si Sawa. Bado tunaye Rais yako madarakani, alafu harakati zinaanza hii kwangu si Sawa. Tuache Mh Rais aliyeko madarakani atekeleze Majukumu yake.
muulizeHuyu muuza pembe za ndovu anaongea nini?
Mbona unachelewa kuhama? Toka utupishe kwenye nchi yetu,watu katili, wajinga na wapumbavu ndo wanaompenda MagufuliNtahamia south sudan member akiwa rais wa Tz.