johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Bado mnaamini katika kupiga kura.?Au ifanyike kura ya maoni kuukubali au kuukataa mfumo wa vyama vingi nchini?
Ndio kufeli kwenyewe huko!Kama upinzani umefeli, kwa nini nguvu nyingi zinatumika kuukataza usifanye mikutano?
Kura ya maoni isimamiwe na Nani, au hii NEC inayobeba chama chetu??.....Au ifanyike kura ya maoni kuukubali au kuukataa mfumo wa vyama vingi nchini?
Mlale unono.
Maendeleo hayana vyama!
Ni ukweli ulio wazi kuwa Upinzani tulionao uliasisiwa kwa baraka za baba wa taifa mwalimu Nyerere baada ya 80% ya watanzania kutaka mfumo wa chama kimoja uendelee.
Ndio nawauliza wanabodi, je huu ndio wakati muafaka wa kuheshimu maoni ya wale 80%?
Au ifanyike kura ya maoni kuukubali au kuukataa mfumo wa vyama vingi nchini?
Mlale unono.
Maendeleo hayana vyama!
Nyerere alishasema anawashangaa viongozi wetu kwani yale mazuri yake wanayatupilia mbali lakini mabaya yake ndio wanayakumbatia. Nakuona nawe waelekea huko huko. Lakini kwa kuwa munashikilia bunge mnaweza kupitisha tu kuvifuta hivyo msivyo vipenda. Ni afadhali kufanya hivyo kuliko kuendelea na hizi sarakasi za kishenzi tunazoziona.Ndio nawauliza wanabodi, je huu ndio wakati muafaka wa kuheshimu maoni ya wale 80%?
Nimekuelewa mkuu!Upinzani unaoita watu mafisadi na kisha baadae kuwakubali na kuwapa ugombea uraisi ndani ya wiki..? Huo upinzani lzm udharaulike tu maana chichiem inajua kucheza nao na wanachezwa kisawasawa,usije kufikiri huko upinzani kuna safu nzuri ya uongozi Kama wanamuita chama tawala fisadi na kisha wanamtumia fisadi kutaka kuupata uraisi,hili halina tofauti na kuruka majivu na kukanyaga Moto!! Hao wapinzani acha wafunzwe mpk watakapo komaa!!
Nguchiro usipanic!Wewe huwa unapenda sana kujipaka kinyesi chako mwenyewe. Hatukuelewi unalenga nini hasa kwa vitendo vyako hivyo. Au yawezekana akili yako haipo sawa.
Dhana halisi ya upinzani si tu Chadema ama vyama fulani, upinzani upo ktk fikra na mioyo ya watu na umeanza hata kabla ya vyama viitwavyo vya upinzani kuanza na hata enzi ya chama kimoja upinzani ulikuwepo ila huenda watu walilazimika kuishi katika unafki yaani kukubali kilichokuwepo hata kama hawakitaki.Ni ukweli ulio wazi kuwa Upinzani tulionao uliasisiwa kwa baraka za baba wa taifa mwalimu Nyerere baada ya 80% ya watanzania kutaka mfumo wa chama kimoja uendelee.
Ndio nawauliza wanabodi, je huu ndio wakati muafaka wa kuheshimu maoni ya wale 80%?
Au ifanyike kura ya maoni kuukubali au kuukataa mfumo wa vyama vingi nchini?
Mlale unono.
Maendeleo hayana vyama!
Nimeipenda pointi yako!Dhana halisi ya upinzani si tu Chadema ama vyama fulani, upinzani upo ktk fikra na mioyo ya watu na umeanza hata kabla ya vyama viitwavyo vya upinzani kuanza na hata enzi ya chama kimoja upinzani ulikuwepo ila huenda watu walilazimika kuishi katika unafki yaani kukubali kilichokuwepo hata kama hawakitaki.
Upinzani hauwezi kufeli labda kufelishwa na huwezi kumalizwa hata aje yoyote atakaye jinasibu kuumaliza.
Kinadharia, wengi wape hao asilimia 80 Ila kiuhalisia kila mtu anataka kuwepo na machaguo mbadala.
Mfumo wa vyama vingi hauathiri mawazo ya wengi maana kama wengi wanaipenda CCM indelee kuwepo basi wataipigia kura ktk uchaguzi huru na haki, pia uwepo wa upinzani utadhihirisha ukweli kwa chama talawa wapi hawapendwi? vinginevyo tuishi ktk unafki kwamba watu wengi kati ya takribani milioni 50 ati tunapenda chama kimoja.