Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Mkuu Idugunde , naunga mkono hoja. Kiukweli Tanzania, ni kama hatuna. upinzani kabisa, kwasababu hatuna upinzani makini.
P.Japo kazi ya upinzani ni kupinga, lakini sio kupinga kila kitu. Kwenye maslahi ya taifa, tutangulize utaifa, tuwe wamoja, wakweli na tusipotoshe
Wanabodi, Huu ni muswada wa makala ya gazeti. Nimepata fursa kuendeleza zile makala zangu za "Kwa Maslahi Ya Taifa", ambazo ni makala elimishi katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kijamii kwa lengo la kulisaidia taifa letu lisonge mbele. Makala ya leo inazungumzia kazi ya vyama vya upinzani...www.jamiiforums.com
Uko sahihi kwa mtazamo wa nongwa dhidi ya upinzani, hasa ukiwa kwenye mazingira ya kusaka uteuzi.