Upinzani umekosa hoja na muelekeo, badala kujadili hoja zenye mashiko ili mkubalike mnabaki kujadili takwimu zilizokosewa bahati mbaya

Upinzani umekosa hoja na muelekeo, badala kujadili hoja zenye mashiko ili mkubalike mnabaki kujadili takwimu zilizokosewa bahati mbaya

Nini maana ya upinzani? au huko CCM kwa wajinga mna Definition tofauti kuhusu upinzani?
ungerilax na kua mtulivu,
kisha ukajikita zaidi kwenye hoja ya msingi mezani huenda ungechota uelewa na ufahamu zaidi ya unachohoji nje ya mada 🐒
 
Umetumia kigezo gani kuhitimisha kuwa upinzani haukubaliki?

Hivi chaguzi zingekuwa huru na haki kama Uingereza na Marekani, huyo Samia anaweza kupata hata kura moja ?. Mumewe tu hamkubali.
 
Tatizo la msingi huwa ni nini hasa?

ubovu, uongo au ubutu wa viongozi wao legelege wenye kuzingatia zaidi maslahi yao binafsi kwanza?

au

ni sera mbovu na mikakakati duni ya vyama vyao, isiyo tekelezeka na iliyokosa matumaini ya kuleta tija, mabadiliko na mageuzi kwa wananchi?

au kwa vile hawana uwezo wa kujitegemea, wala hawana ofisi za maana za kudumu, kwamba hata likitokea la kutokea kuna mahali pa uhakika unaweza kuwakuta?🐒
Vyama vingi vina uhaba wa fedha za kuendesha shughuli za chama kwa nchi nzima.
Mara nyingi wafadhali ambao wengi ni wafanyabiashara hawafadhili vyama vya upinzani kutotaka kuudhi Chama tawala,kuna gharama zake kibiashara.
 
Umetumia kigezo gani kuhitimisha kuwa upinzani haukubaliki?

Hivi chaguzi zingekuwa huru na haki kama Uingereza na Marekani, huyo Samia anaweza kupata hata kura moja ?. Mumewe tu hamkubali.
kushindwa kwa kishindo kila uchaguzi huru, haki na wa wazi 🐒

hususwa kwenye maandamano na migomo pia 🐒
 
AU
Uzuri wa CCM, I mean, hawana natusi. Ilani zao ni credible, practical na zinatekelezwa. Hakuna sera yenyeni Muungano harufu ya Udini au Ukabila. Kikubwa zaidi ya vyote ni Muungano, hili hawalioni kabisa wenzetu.
for sure,
ukiridhika na kujitosheleza vizuri kwa hali na mali, uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya mambo mbalimbali, sidhani kama unaweza kua na mihemko wala kuwaza matusi au kumdhihaki mwingine kwasababu ya mirengo ya kisiasa, dini au kabila lake , ofcoz hiyo ndiyo CCM 🐒
 
Rudia tena kusoma upuuzi wako Leo

Ccm na serikali wamepoteza mwelekeo
Walituambia tutaendelea kukopa sisi ni matajiri

Gagla wamegeuka wanasema wanaogopa kwenda kukopa kwa kuwa wanadhalilishwa
 
Back
Top Bottom