Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kwakweli sijawahi kuziona, huenda huwa wanaona aibu wanazificha kwasabu hazina mashiko 🐒Ushawahi kuziona sera za wapinzani?
Hakuna wapinzani, kuna wapigaji tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwakweli sijawahi kuziona, huenda huwa wanaona aibu wanazificha kwasabu hazina mashiko 🐒Ushawahi kuziona sera za wapinzani?
Hakuna wapinzani, kuna wapigaji tu.
Hawana sera kabisa.kwakweli sijawahi kuziona, huenda huwa wanaona aibu wanazificha kwasabu hazina mashiko 🐒
ungerilax na kua mtulivu,Nini maana ya upinzani? au huko CCM kwa wajinga mna Definition tofauti kuhusu upinzani?
Vyama vingi vina uhaba wa fedha za kuendesha shughuli za chama kwa nchi nzima.Tatizo la msingi huwa ni nini hasa?
ubovu, uongo au ubutu wa viongozi wao legelege wenye kuzingatia zaidi maslahi yao binafsi kwanza?
au
ni sera mbovu na mikakakati duni ya vyama vyao, isiyo tekelezeka na iliyokosa matumaini ya kuleta tija, mabadiliko na mageuzi kwa wananchi?
au kwa vile hawana uwezo wa kujitegemea, wala hawana ofisi za maana za kudumu, kwamba hata likitokea la kutokea kuna mahali pa uhakika unaweza kuwakuta?🐒
kushindwa kwa kishindo kila uchaguzi huru, haki na wa wazi 🐒Umetumia kigezo gani kuhitimisha kuwa upinzani haukubaliki?
Hivi chaguzi zingekuwa huru na haki kama Uingereza na Marekani, huyo Samia anaweza kupata hata kura moja ?. Mumewe tu hamkubali.
sasa hao CCM wanaibaje kura ambazo hao wapinzani hawana?🐒Ni kwa sababu ccm ni wezi wa kura
ukielezwa ukweli unawewesekaga sana gentleman 🐒Mjinga mwingine
ila nyinyi wanainchi bana mnajua kuwanyoosha watu dah!🐒Kusoma hujui lakini picha uioni!
Leo hawa Chadema tuwape nchi! Taifa si litakuwa kama Saccos...
unazungumzia ile timu yako ya mihemko, ghadhabu na kuporomosha matusi sio? right?🐒Hivi unajua kwanini wadau wengi wa jf wanakudharau?
for sure,AU
Uzuri wa CCM, I mean, hawana natusi. Ilani zao ni credible, practical na zinatekelezwa. Hakuna sera yenyeni Muungano harufu ya Udini au Ukabila. Kikubwa zaidi ya vyote ni Muungano, hili hawalioni kabisa wenzetu.