Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Binafsi ninamuona TUNDU LISSU kama MWANAHARAKATI zaidi....kaliba hiyo ANAYO.
Simuoni kuwa ni mwanasiasa sana hasa siasa zetu za Afrika.
Tundu Lissu angekuwa anafanya siasa katika nchi za "kiliberali"ama hata za CONSERVATIVE kama kule Marekani na UINGEREZA.
Huko angefanikiwa ZAIDI lakini si katika nchi zetu...hususani sisi tulio katika ujamaa na kujitegemea.
Na ukitaka kujua jamaa ni mliberali mwenye FREE THINKING angalia mwenendo wake,hotuba zake na hata KAZI ZAKE KAMA WAKILI.
Ningemshauri asome tena shahada ya 3 abobee zaidi na kuomba kazi ya kufundisha SHERIA NA UTAWALA huko aliko....hili linamfaa ZAIDI!!
Siasa za upinzani za Tanzania awaachie tu akina Mbowe,Maalim Seif na Zitto Kabwe.
Muuza Al Kasus
Tandale