Hii nchi ni ya wananchi na ndio waliolala usingizi wa pono.Wapendwa salaam!
Kama kuna kitu kinanisikitisha katika nchi hii ni vyama vya upinzani kulala usingizi wa wa pono. Tulidhani kua wao ndio mbadala wa pili wa serikali lakini wamekaa kimya huku mambo mengi yakienda ndivyo sivyo.
Kwahiyo baada ya kuporwa vitu vingi kwenye uchaguzi ndio kifo chako kabisa hawasikiki tena?
Kuna suala zito na gumu la KATIBA MPYA limeachwa wanasubiri kila inapokaribia wakati wa uchaguzi kuilaumu serikali wakati wakijua kua haiwezi kutenda tofauti na mfumo uliopo ndani ya katiba. Tulitegemea kua upinzani ungekua front line kuhamasisha umma wa Watanzania kuelewa maana na umuhimu wa katiba mpya.
Huwezi kuwalaumu Watanzania kua ni wajinga wakati hujawaelemisha, huwezi ukamkuta machinga na mitumba yake pale msimbazi Kariakoo umwambia tuandamane kudai katiba mpya wakati hajui itamsaidia nini yeye na atakuona wewe ni mvunjifu wa amani, mwelimishe kwanza ajue maana ya katiba na umuhimu wake katika maisha yake.
Hakuna Mtawala yeyote duniani atakayekuletea katiba mpya yenye kumpunguzia power au yenye kuleta usawa katika jamii. Atakua radhi kubadili katiba iwe na favori kwake yeye. Si wajibu wa mtawala kukuletea katiba, ni lazima alazimishwe apende au asipende maana nchi ni yetu sote si mali ya mtu na kila mmoja ana haki ya kuishi na kupata haki yake ya msingi.
Hakuna chombo chochote cha dola kinachoweza kuumiza ama kupoteza mbele ya macho ya dunia kwakua unadai haki yako ya msingi na kikatiba. Huwezi kwenda mahakamani kudai kitu ambacho pia waamuzi ndani ya mahakama watawala wamewawekea. Ni haki ya kila mtu kudai katiba mpya kwa sababu ni ya msingi na ni muhimu.
Kwanini wewe usianze au wewe siyo Mtanzania?Wapendwa salaam!

AKina Mbowe wamefilisiwa na utawala katili alafu unasema wamelala, walio lala ni wananchi wenyewe.Hii nchi ni ya wananchi na ndio waliolala usingizi wa pono.
Sasa umekaabkama msukule ukisubiria kina Mbowe wapambane kwaajili yako.
Kwanza wao washafanya sehemu yao. Pili, ukiwaacha wapambane peke yao na wao sikubwakipata wanakuwa CCM part two, maana hawalazimiki kukutumikia wewe Kwasababu walipambana wenyewe wakati wewe.
Anyway, MITANO TENA NA TENA
Wengine wameumizwa wamefungwa, kufilisiwa, kupigwa risasi wewe umefanya nini? mkuu umeongea point snKama uliamua kuwaacha kama yatima ulitegemea nini sasa? Maana walihitaji ushiriki wako, wewe ulilala mbele, ulikula kona ilihali walikuwa wakipigania maslahi ya wote, ukawatenga na yule atwangaye marungu alipoona hawana nguzo ya kuegemea ikamrahiaishia kazi ya kuwawamba msalabani. "Enyi wanaume n wanawake wa nchi yangu, msiwalilie hao wapinzani bali jililieni nyinyi na watoto wenu."
Bora hao Wapinzani waoga kuliko wewe uliye nje ya UpinzaniWapendwa salaam!
Kama kuna kitu kinanisikitisha katika nchi hii ni vyama vya upinzani kulala usingizi wa wa pono. Tulidhani kua wao ndio mbadala wa pili wa serikali lakini wamekaa kimya huku mambo mengi yakienda ndivyo sivyo.
Kwahiyo baada ya kuporwa vitu vingi kwenye uchaguzi ndio kifo chako kabisa hawasikiki tena?
Kuna suala zito na gumu la KATIBA MPYA limeachwa wanasubiri kila inapokaribia wakati wa uchaguzi kuilaumu serikali wakati wakijua kua haiwezi kutenda tofauti na mfumo uliopo ndani ya katiba. Tulitegemea kua upinzani ungekua front line kuhamasisha umma wa Watanzania kuelewa maana na umuhimu wa katiba mpya.
Huwezi kuwalaumu Watanzania kua ni wajinga wakati hujawaelemisha, huwezi ukamkuta machinga na mitumba yake pale msimbazi Kariakoo umwambia tuandamane kudai katiba mpya wakati hajui itamsaidia nini yeye na atakuona wewe ni mvunjifu wa amani, mwelimishe kwanza ajue maana ya katiba na umuhimu wake katika maisha yake.
Hakuna Mtawala yeyote duniani atakayekuletea katiba mpya yenye kumpunguzia power au yenye kuleta usawa katika jamii. Atakua radhi kubadili katiba iwe na favori kwake yeye. Si wajibu wa mtawala kukuletea katiba, ni lazima alazimishwe apende au asipende maana nchi ni yetu sote si mali ya mtu na kila mmoja ana haki ya kuishi na kupata haki yake ya msingi.
Hakuna chombo chochote cha dola kinachoweza kuumiza ama kupoteza mbele ya macho ya dunia kwakua unadai haki yako ya msingi na kikatiba. Huwezi kwenda mahakamani kudai kitu ambacho pia waamuzi ndani ya mahakama watawala wamewawekea. Ni haki ya kila mtu kudai katiba mpya kwa sababu ni ya msingi na ni muhimu.
Mkuu unamsoma mwingine halafu unani quote mimi ??AKina Mbowe wamefilisiwa na utawala katili alafu unasema wamelala, walio lala ni wananchi wenyewe.
Mkuu nilikuwa naunga mkono hoja yakoMkuu unamsoma mwingine halafu unani quote mimi ??
Katiba ni dira ni miongozo sahihi iliyowekwa iliyokubaliwa na Jamii, wananchi kama muongozo sahihi wa kuiongoza nje.Yaani ni mfumo sahihi wa kuiondoa nchi isiwe mali binafsi ya mtawala kwa maslai ya mtawala bali iwe ni mali ya wananchi.Sijaelewa lengo la kupata katiba mpya ni nini hasa naomba kueleweshwa.
Kama umekosa cha kuandika nenda kampikie mumeo chakula. Wewe hujui kinachoendelea TanzaniaWapendwa salaam!
Kama kuna kitu kinanisikitisha katika nchi hii ni vyama vya upinzani kulala usingizi wa wa pono. Tulidhani kua wao ndio mbadala wa pili wa serikali lakini wamekaa kimya huku mambo mengi yakienda ndivyo sivyo.
Kwahiyo baada ya kuporwa vitu vingi kwenye uchaguzi ndio kifo chako kabisa hawasikiki tena?
Kuna suala zito na gumu la KATIBA MPYA limeachwa wanasubiri kila inapokaribia wakati wa uchaguzi kuilaumu serikali wakati wakijua kua haiwezi kutenda tofauti na mfumo uliopo ndani ya katiba. Tulitegemea kua upinzani ungekua front line kuhamasisha umma wa Watanzania kuelewa maana na umuhimu wa katiba mpya.
Huwezi kuwalaumu Watanzania kua ni wajinga wakati hujawaelemisha, huwezi ukamkuta machinga na mitumba yake pale msimbazi Kariakoo umwambia tuandamane kudai katiba mpya wakati hajui itamsaidia nini yeye na atakuona wewe ni mvunjifu wa amani, mwelimishe kwanza ajue maana ya katiba na umuhimu wake katika maisha yake.
Hakuna Mtawala yeyote duniani atakayekuletea katiba mpya yenye kumpunguzia power au yenye kuleta usawa katika jamii. Atakua radhi kubadili katiba iwe na favori kwake yeye. Si wajibu wa mtawala kukuletea katiba, ni lazima alazimishwe apende au asipende maana nchi ni yetu sote si mali ya mtu na kila mmoja ana haki ya kuishi na kupata haki yake ya msingi.
Hakuna chombo chochote cha dola kinachoweza kuumiza ama kupoteza mbele ya macho ya dunia kwakua unadai haki yako ya msingi na kikatiba. Huwezi kwenda mahakamani kudai kitu ambacho pia waamuzi ndani ya mahakama watawala wamewawekea. Ni haki ya kila mtu kudai katiba mpya kwa sababu ni ya msingi na ni muhimu.
Tundu Lissu aliposema muuandamane kupinga matokeo ya uchaguzi haramu mlimuunga mkono?Wapendwa salaam!

Nchi nyingi duniani wananchi ndio wanaoleta mageuzi lakini siyo Tanzania!Wapendwa salaam!

We umefanya nini baada ya kuona upinzani umelele? Kwanza upinzani unazuia maendeleo. We unataka upinzani kwa sababu gani?Wapendwa salaam!