Upinzani watangaza mapambano 2008

Mushi anafanya nini wakati wapinzani wakizunguka nchi nzima? Huu ni usaliti zaidi ya kina Marando anaowaona kuwa ni wasaliti
 
Kwahiyo kwasababu siko kwenye ulingo wa kisiasa basi nisiseme kina Laswai na Kaborou ni wasaliti?

Hiyo ni juu yako ila kwangu wewe unaonekana msaliti tu kuliko hao kina Lamwai unaowaona wasaliti.
 
Na ndio maana nasema unajikomba!
Hivi Zitto mwenyewe aliyekuwepo hapa mbona hakusema nimemtukana?

Unatumia maneno ya kujikomba na wakati unaweza kujikuta wewe ndio unajikomba hapa.
 
Mushi anafanya nini wakati wapinzani wakizunguka nchi nzima? Huu ni usaliti zaidi ya kina Marando anaowaona kuwa ni wasaliti
Kwahiyo kwa mara nyingine unajaribu kusema kuwa wana jf ni wasaliti kwasababu hawazunguki Tanzania?
Ama this time ni Mushi peke yake?
Ni nini? mbona umeudhika kuliko Zitto mwenyewe?
Ama kweli wapambe NUKSI!
 
Wewe huwezi kuwa kwenye maisha yako unafurahia na ukaita watu wanaopigania masilahi ya watanzania kuwa ni wasaliti.
 
Mushi anafanya nini wakati wapinzani wakizunguka nchi nzima? Huu ni usaliti zaidi ya kina Marando anaowaona kuwa ni wasaliti

Atazunguka nchi nzima ya Australia au Cambodia, au kokote aliko anakosoma?

Mimi naomba unijibu kama Zitto nae kaharibu na faux pas yake ya 'wasaliti ni wananchi...'
 
Wewe huwezi kuwa kwenye maisha yako unafurahia na ukaita watu wanaopigania masilahi ya watanzania kuwa ni wasaliti.
We naona unapiga domo tu hapa!
Hivi umesoma posting za Zitto?
Umesoma pale alipotoa mfano kutoka kwa Dr Mtei kuhusu safari ya treni kuelekea Kigoma?
Mbona unataka ku act klama vile mimi ni mpinzani wa Zitto?
Ama ni uchonganishi wako hapa?
 
Hapana Mkuu!
Huyu jamaa anataka kunichonganisha na Zitto!
Kuimply kuwa eti nimemtukana Zitto!
 
Neno lenyewe lililo tumiwa ni 'traitors.' Sisi tumetafsiri.
 
Hiki ndicho Zitto amesema
 
Atazunguza nchi nzima ya Australia au Cambodia, au kokote aliko anakosoma?

Mimi naomba unijibu kama Zitto nae kaharibu na faux pas yake ya 'wasaliti ni wananchi...'

Zitto amesema yafuatayo...

Zitto ametoa qualified statement.
 
We naona unapiga domo tu hapa!
Hivi umesoma posting za Zitto?
Umesoma pale alipotoa mfano kutoka kwa Dr Mtei kuhusu safari ya treni kuelekea Kigoma?
Mbona unataka ku act klama vile mimi ni mpinzani wa Zitto?
Ama ni uchonganishi wako hapa?

Maneno yako ndio yanakufunga na wala sio mimi!
 
Hiki ndicho Zitto amesema
Hiyo ni definition yake yeye binafsi..Na yuko entitled to!
Kwangu mimi Traitors ni kina Marando,Laswai pamoja na Kaborou!
Sasa kumwambia Zitto kuwa hatutaki na yeye aingie kwnye grupu hilo ndio we unaita u traitor?
 
Kwa wewe hujapigania mambo ya watanzania kama kina Marando na unaonekana msaliti kuliko wao. Unasubiri wenzake walime kisha wewe uje kuvuna. Hata huna aibu?
 
Zitto amesema yafuatayo...

Zitto ametoa qualified statement.

Mbona hukuileta hii kama si UPAMBE?

Maneno yapi hayo yananifunga?

Kuita watanzania wanaopigana kila siku na ufisadi kule Tanzania kuwa ni wasaliti wakati wewe umekimbia na kujificha huku ukisubiria wenzako walime kisha ujitokeze kuvuna.
 
Zitto yeye amesema(while quoting Dr Mtei) Kuwa hao watu walishuka kwenye treni!
Hajasema kuwa ni Traitors!
Like i said hiyo ni definition yake yeye na maybe Mzee Mtei!
Yangu mimi ni kuwa hawa watu ni Traitors wa maendeleo ya Mtanzania!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…