Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Si nimemwambia namba ya Zitto iliwekwa wazi hapa na yeye anabisha?
Sasa mi nilitaka kumwambia kuwa sijikombi na i will never do that! Ningetaka kufanya hivyo ningeweza!
We will find out!Mkjj,kausemi kako kalisema wakikosa hoja wanaleta vioja..............
We will find out!
Ili mradi nisifungiwe hapa!
Ofcourse i have never disrespected nobody!
Mkjj,kausemi kako kalisema wakikosa hoja wanaleta vioja..............
Mko wangapi kwa ajili ya kazi hiyo maana umesema kuwa 'we " ina maana mko wengi au ni wewe pekee mwenye jukumu la kufind out?
We will find out!
Ili mradi nisifungiwe hapa!
Ofcourse i have never disrespected nobody!
Na ile thread ya Kikwete kuwaambia viongozi wake wasijali kuitwa mafisadi nayo ilkuwa ni kioja?
Na ile ya Kikwete akataa Balali asiltwe pia unaiita kioja?
Walks like a duck..
Wakati sisi tuna mpa presha Zitto yeye anachotakiwa ni kumvutia Muungwana waya na kumweleza concern zetu kuwa anaweza kumgeuka Zito na hivyo ku facilitate kifo chake kisiasa!
Sina nia mbaya hapa ni lazima tuelewane!
Je Zitto Ana Msimamo Gani Kuhusu Ukamatwaji Wa Mafisadi?
Hizi zote zilikuwa ni reported speech ,sasa sikuelewi unataka kusema nini hapa.
Kuwa upande wa Kikwete aliyekataa kuwakamata mafisadi kwa visingizio visivyo na kichwa wala miguu!Msimamo wake unahusiana vipi na kukamatwa mafisadi?
You will find out..Kama kweli Kikwete akifanya mambo safi kama kina Zitto wanavyotaka tuamni then kwanini nisbadili mawazo?
Kuwa upande wa Kikwete aliyekataa kuwakamata!
Kuwa upande wa Kikwete aliyekataa kuwakamata mafisadi kwa visingizio visivyo na kichwa wala miguu!
Zitto ametaka lini muamini kuwa Kikwete atafanya mambo safi?
Si anasema tutoe muda tu kila siku kwa swaiba wake kuhusiana na ripoti ya kamati ya madini?
Na wewe si umeshaweka hilo wazi?
Sasa hapa nani anamchanganya nani?