Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Si nimemwambia namba ya Zitto iliwekwa wazi hapa na yeye anabisha?
Sasa mi nilitaka kumwambia kuwa sijikombi na i will never do that! Ningetaka kufanya hivyo ningeweza!
yaani wewe uniambie tu halafu nikubali kwa vile umesema? mimi sijabisha nimeulizwa iliwekwa wapi na kama unayo kwanini usimuulize yeye mwenyewe?
Sasa kuniita kichaa kunafanya vipi hoja zako kuwa na nguvu?