Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 60
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ni kwamba mnabadilika badilika haraka haraka mno! INATISHA!Huna makosa kabisa na unaruhusiwa kuanza hivyo right now.
Next........
Next ni kwamba hatuwezi kukubali mle sahani moja na MAFISADI halafu mturn around kujidai eti na nyie ni wana upinzani!That's correct....
Next.....
Tatizo ni kwamba mnabadilika badilika haraka haraka mno! INATISHA!
Typicall politicians!
INACHOSHA!
Next ni kwamba hatuwezi kukubali mle sahahni moja na MAFISADI halafu mturn around kujidai eti na nyie ni wana upinzani!
Hilo ndo mchele na chuya!
How am i supposed to know wakati nyie mnajaribu kunifanya nionekane kuwa sina hoja mbele za wana jf?Mushi,
hakuna kilichobadilika. Kwangu mimi nimeomba time out for a month.....
Kila kitu kinahitaji evaluation na so far inaendelea vizuri. Una kila sababu y akusema chochote kile kwenye uamuzi wangu huu lakini nimeonelea vyema kutulia kidogo na kujipanga upya.
So far wiki moja imepita kuanzia tarehe saba... three more to go!
Hadaa za upinzani?
Hivi una uhakika kuwa hakuna wanao sapoti nachosema hapa?Hamuwezi kukubali na nani? mbona unachukulia wengi as if wewe ndio msemaji wa upinzani hapa JF?
Kwani wewe ndio unaamulia nani ni mpinzani na nani sio?
How am i supposed to know wakati nyie mnajaribu kunifanya nionekane kuwa sina hoja mbele za wana jf?
We'll see!Utasema chochote unachotaka na nilipoanzisha ile thread nilikubali kuitwa jina lolote lile katika kipindi hiki cha mpito.
Hivi una uhakika kuwa hakuna wanao sapoti nachosema hapa?
Na hiyo ndo maana yangu!Mushi,
Hakuna conspiracy hapa .... hoja zako zinajibiwa accordingly kama vile hoja zingine zinajibiwa hapa JF. Wewe waweza kusema chochote hapa JF lakini kumbuka kuwa hoja zako zitajibiwa na watu na muda mwingine wataungana nawe na muda mwingine hawataungana nawe.
Hujibu swali hata moja huku ukiuliza maswali mengine?Hiyo hakika nitaijuaje mkuu? kama wapo wana kila sababu ya kusapoti unachosema na hakutakuwa na tatizo lolote.
Swali lingine......
We'll see!
So far we unaona yale yasiyoonekana na pia unajaribu ku possiblelize things that are impossible to be possiblelized!
1)Ni lini utaidai kutoka kwa Kikwete?Nyie watu msitake nizimie hapa nilipo!That's your take...
Mimi sijaona chochote ila siwezi kufanya yafuatayo kama wewe ulivyoshauri.
1. Siwezi kudai report ya kamati ya madini toka kwa Zitto -Nitaidai toka kwa Kikwete
2. Siwezi kumtaka Zitto aishinikize serikali ya USA kuhusu hatima ya Balali
3. Siwezi kufanya kile unachotaka wewe mimi nifanye hapa JF.....
Next....
Jmushi,
ni nani mwenye mamlaka ya mwisho ya kutoa ripoti ya Kamati ya Madini?
Je Zitto ana ushawishi gani kwa Rais hadi Rais amsikilize na kufanya analotaka yeye Zitto?
Je, Rais asipotaka kutoa ripoti ya Kamati aliyounda hadharani wewe utafanya nini? na Zitto anatakiwa kufanya nini?
Kamati ya Madini ina wajumbe wengi tu zaidi ya Zitto, kwanini umemkomalia Zitto badala ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo Jaji Bomani?
OOkay!Jmushi,
ni nani mwenye mamlaka ya mwisho ya kutoa ripoti ya Kamati ya Madini?
Je Zitto ana ushawishi gani kwa Rais hadi Rais amsikilize na kufanya analotaka yeye Zitto?
Je, Rais asipotaka kutoa ripoti ya Kamati aliyounda hadharani wewe utafanya nini? na Zitto anatakiwa kufanya nini?
Kamati ya Madini ina wajumbe wengi tu zaidi ya Zitto, kwanini umemkomalia Zitto badala ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo Jaji Bomani?