Upinzani watangaza mapambano 2008

Upinzani watangaza mapambano 2008

Tatizo ni kwamba mnabadilika badilika haraka haraka mno! INATISHA!
Typicall politicians!
INACHOSHA!

Mushi,

hakuna kilichobadilika. Kwangu mimi nimeomba time out for a month.....

Kila kitu kinahitaji evaluation na so far inaendelea vizuri. Una kila sababu y akusema chochote kile kwenye uamuzi wangu huu lakini nimeonelea vyema kutulia kidogo na kujipanga upya.

So far wiki moja imepita kuanzia tarehe saba... three more to go!
 
Next ni kwamba hatuwezi kukubali mle sahahni moja na MAFISADI halafu mturn around kujidai eti na nyie ni wana upinzani!
Hilo ndo mchele na chuya!

Hamuwezi kukubali na nani? mbona unachukulia wengi as if wewe ndio msemaji wa upinzani hapa JF?

Kwani wewe ndio unaamulia nani ni mpinzani na nani sio?
 
Mushi,

hakuna kilichobadilika. Kwangu mimi nimeomba time out for a month.....

Kila kitu kinahitaji evaluation na so far inaendelea vizuri. Una kila sababu y akusema chochote kile kwenye uamuzi wangu huu lakini nimeonelea vyema kutulia kidogo na kujipanga upya.

So far wiki moja imepita kuanzia tarehe saba... three more to go!
How am i supposed to know wakati nyie mnajaribu kunifanya nionekane kuwa sina hoja mbele za wana jf?
 
Hamuwezi kukubali na nani? mbona unachukulia wengi as if wewe ndio msemaji wa upinzani hapa JF?

Kwani wewe ndio unaamulia nani ni mpinzani na nani sio?
Hivi una uhakika kuwa hakuna wanao sapoti nachosema hapa?
 
How am i supposed to know wakati nyie mnajaribu kunifanya nionekane kuwa sina hoja mbele za wana jf?

Mushi,

Hakuna conspiracy hapa .... hoja zako zinajibiwa accordingly kama vile hoja zingine zinajibiwa hapa JF. Wewe waweza kusema chochote hapa JF lakini kumbuka kuwa hoja zako zitajibiwa na watu na muda mwingine wataungana nawe na muda mwingine hawataungana nawe.
 
Utasema chochote unachotaka na nilipoanzisha ile thread nilikubali kuitwa jina lolote lile katika kipindi hiki cha mpito.
We'll see!
So far we unaona yale yasiyoonekana na pia unajaribu ku possiblelize things that are impossible to be possiblelized!
 
Mushi,

Hakuna conspiracy hapa .... hoja zako zinajibiwa accordingly kama vile hoja zingine zinajibiwa hapa JF. Wewe waweza kusema chochote hapa JF lakini kumbuka kuwa hoja zako zitajibiwa na watu na muda mwingine wataungana nawe na muda mwingine hawataungana nawe.
Na hiyo ndo maana yangu!
Maana wewe unajaribu kuona kuwa eti ni mimi mwenyewe ndiye mwenye kuona maluwe luwe!Kwi kwi kwi..Ustake N'cheke!
 
Hiyo hakika nitaijuaje mkuu? kama wapo wana kila sababu ya kusapoti unachosema na hakutakuwa na tatizo lolote.

Swali lingine......
Hujibu swali hata moja huku ukiuliza maswali mengine?
Hivi na wewe ume ngurdotoliwa na Kikwete nini?!
Kwi kwi kwi..Again Ustake N'cheke!
 
We'll see!
So far we unaona yale yasiyoonekana na pia unajaribu ku possiblelize things that are impossible to be possiblelized!

That's your take...

Mimi sijaona chochote ila siwezi kufanya yafuatayo kama wewe ulivyoshauri.

1. Siwezi kudai report ya kamati ya madini toka kwa Zitto -Nitaidai toka kwa Kikwete
2. Siwezi kumtaka Zitto aishinikize serikali ya USA kuhusu hatima ya Balali
3. Siwezi kufanya kile unachotaka wewe mimi nifanye hapa JF.....

Next....
 
Jmushi,

ni nani mwenye mamlaka ya mwisho ya kutoa ripoti ya Kamati ya Madini?

Je Zitto ana ushawishi gani kwa Rais hadi Rais amsikilize na kufanya analotaka yeye Zitto?

Je, Rais asipotaka kutoa ripoti ya Kamati aliyounda hadharani wewe utafanya nini? na Zitto anatakiwa kufanya nini?

Kamati ya Madini ina wajumbe wengi tu zaidi ya Zitto, kwanini umemkomalia Zitto badala ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo Jaji Bomani?
 
1)Ni lini utaidai kutoka kwa Kikwete?Nyie watu msitake nizimie hapa nilipo!
Sasa huyu MKJJ naye si alisema Rais hakuna wa kummuliza?Sasa na yeye anatuchanganya tu hapa!

2)Huwezi kumtaka Zito afanye lolote kuhusu ukamatwaji wa mafisadi?

3)Najua huwezi kufanya kile ninanchotaka ufanyae!
Thats just next to impossible! Iam aware on that..However sijui ni vigezo gani ulivyotumia kuona kwamba eti baada ya mwezi muungwana will do something!
 
Halafu naomba tuwe constructive hapa badala tu ya kusema next...?
Hizi sasa siasa za kimwalimu mwalimu tuziache kwenye generation hii..Ni totally outdated!
UNAKUMBUKA KIZOTA!?
kwi kwi kwi kwi..
 
Jmushi,

ni nani mwenye mamlaka ya mwisho ya kutoa ripoti ya Kamati ya Madini?

Je Zitto ana ushawishi gani kwa Rais hadi Rais amsikilize na kufanya analotaka yeye Zitto?

Je, Rais asipotaka kutoa ripoti ya Kamati aliyounda hadharani wewe utafanya nini? na Zitto anatakiwa kufanya nini?

Kamati ya Madini ina wajumbe wengi tu zaidi ya Zitto, kwanini umemkomalia Zitto badala ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo Jaji Bomani?

Rabda anataka kumuingiza mwenzie mkenge; Baadae atakuja sema ooh, kwa nini hakufuata sheria na bra bra kibao. Zitto anajua anachokifanya so far so good
 
Jmushi,

ni nani mwenye mamlaka ya mwisho ya kutoa ripoti ya Kamati ya Madini?

Je Zitto ana ushawishi gani kwa Rais hadi Rais amsikilize na kufanya analotaka yeye Zitto?

Je, Rais asipotaka kutoa ripoti ya Kamati aliyounda hadharani wewe utafanya nini? na Zitto anatakiwa kufanya nini?

Kamati ya Madini ina wajumbe wengi tu zaidi ya Zitto, kwanini umemkomalia Zitto badala ya Mwenyekiti wa Kamati hiyo Jaji Bomani?
OOkay!
Kwa hiyo sasa Kikwete ndio ana ushawishi na wapinzani?
Aliwashawishi vipi wapinzani wakamwacha Zitto ashirikiane na MAFISADI?
 
Back
Top Bottom