Upinzani watangaza mapambano 2008

Upinzani watangaza mapambano 2008

1)Mwenye mamlaka ya mwisho ni Rais!
Hili lilikuwa wazi kabla hata Zitto hajaingia kwenye kamati!
Na ndio haswa kisingizio cha kisiasa kuwa hana nguvu zaidi ya rais!

Natumaini sasa rants zako zitaelekezwa kunakostahili

2)Alikuwa na mamlaka na ushawishi wa kumwingiza Zitto kwenye kamati iliyoundwa pia na baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi!

3)Zitto awe na ama nia ya kuendelea kumshawishi mh rais aitoe ripoti ama ikifikia too much kusubiri the afanye something!

Zitto kama akimshauri Kikwete atoe report na Kikwete akatae then utaidai toka kwa Zitto au kwa Kikwete?

4)Nimemkomalia Zitto kwasababu mimi ni mmojawapo niliyekuwa nikimtaka atafakari kabla hajaamua kufanya kazi na mafisadi kamatini!

Hii ni after fact, Zitto alishaingia kwenye kamati na kamati ilishamaliza muda wake. Yamejulikana mengi na mengi zaidi yanakuja. Evidence zinatunzwa, so kulaumu Zitto kuingia kwenye kamati kunasaidia nini leo hii na wakati hakutabadilisha kilichofanyika tayari.
 
Halafu we marwa usijikombe kombe hapa!
We uanfikiri kuna mtu anataka maslahi hapa!
Watu tunayo gazabu na nchi yetu kama anybody else!
Hakuna ambaye yuko entitled to this and the other not!

hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa

kazi ipo, sijikombe nakuambia truth
 
Athari za kushirikiana na mafisadi ziko na zitaendelea kuwepo unless proven adawais
 
hahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa

kazi ipo, sijikombe nakuambia truth
Truth gani ya kuniambia kuwa niko hapa kwasabau ya kupata maksi?
Maksi za nini?
Niko hapa kwasababu nawaheshimu members wa JF! Na si kumfurahisha mtu kama unavyoelekea kutaka kufanya!
KUJIKOMBA KOMBA!
 
Najua wenye maslahi ni wengi!
Lakini NO INTIMIDATION WILL EVER MAKE ME RETREAT!

I like your resolve to fight a losing battle; sometimes even if you know you have already lost the game you still have to play to the last kipenga. So, it is has been very good attempt on your part but the overwhelming assault of your arguments has led me to state without any sense of ambiguity that the arguments are shallow, the attempt to respond weak, and the audacity of your words mediocre.

But I still praise your try.
 
Natumaini sasa rants zako zitaelekezwa kunakostahili

Zitto kama akimshauri Kikwete atoe report na Kikwete akatae then utaidai toka kwa Zitto au kwa Kikwete?

Hii ni after fact, Zitto alishaingia kwenye kamati na kamati ilishamaliza muda wake. Yamejulikana mengi na mengi zaidi yanakuja. Evidence zinatunzwa, so kulaumu Zitto kuingia kwenye kamati kunasaidia nini leo hii na wakati hakutabadilisha kilichofanyika tayari.
Nitaidai toka kwa wote kama ninavyofanya hapa!
NASEMA HIVI...HAKUNA MTU ATAKAYEKULA SAHANI MOJA NA MAFISADI HALAFU AENDELEE KUITWA MZALENDO!
NO NO NO! like i said..Unless proven Adawais
 
Athari za kushirikiana na mafisadi ziko na zitaendelea kuwepo unless proven adawais

Inaonekana umegundua kitu ambacho wengi hapa JF walikuwa hawajui...lol

Hongera sana kwa ugunduzi huu. Inabidi sasa utafute patent right ya ugunduzi wako.....lol
 
I like your resolve to fight a losing battle; sometimes even if you know you have already lost the game you still have to play to the last kipenga. So, it is has been very good attempt on your part but the overwhelming assault of your arguments has led me to state without any sense of ambiguity that the arguments are shallow, the attempt to respond weak, and the audacity of your words mediocre.

But I still praise your try.
Unajaribu kuni sideline kwasababu watu wengi mimi nikiwemo..Tunakuheshimu hapa jf!
Lakini kwenye hili...mpaka kieleweke!
Na kama ni a loosing fight..Then we will find out!
Halafu bado unasahau kuwa kama ripoti ikitoka..Basi tutaendelea kuelewana tu!
Siko hapa kupoteza muda ama just for the sake of an argument!
 
Nitaidai toka kwa wote kama ninavyofanya hapa!
NASEMA HIVI...HAKUNA MTU ATAKAYEKULA SAHANI MOJA NA MAFISADI HALAFU AENDELEE KUITWA MZALENDO!
NO NO NO! like i said..Unless proven Adawais

So far nakuona ukiendelea kuidai hapa JF mkuu na napongeza juhudi zako. Nakuhakikishia kuwa nitakuwa wa kwanza kuisoma mara tu utakapoipata hapa JF.

Hongera sana!
 
Unajaribu kuni sideline kwasababu watu wengi mimi nikiwemo..Tunakuheshimu hapa jf!
Lakini kwenye hili...mpaka kieleweke!

Nani ataku-sideline wewe! unalialia sana hadi unatia huruma.

Wewe endelea kudai report yako na ukishaipata uiweke hapa JF na kisha yote yataeleweka.
 
Mwanakijiji na Mwafrika wa kike pamoja na Zitto na Mh Rais...
Nitakuwa upande wenu kama
1)Ripoti ikitoka
2)Mafisadi wakikamatwa!
 
Nani ataku-sideline wewe! unalialia sana hadi unatia huruma.

Wewe endelea kudai report yako na ukishaipata uiweke hapa JF na kisha yote yataeleweka.
Yani kusema ninalia lia ni kashfa!Nakulilia wewe?
Naomba tusiende huko!
Halafu tatizo ni kwamba WEWE NI KIGEU GEU MNO!
Kwahiyo sasa umeconclude kuwa ni mimi mwenyewe mwenye kuitaka ripoti?
 
Mimi sina upande hapa, so chagua upande mwingine katika hili.
Kwahiyo mafisadi wawajibiswe ama wasiwajibishwe wewe huna noma!
Ama kweli upinzani!
Mi naanza kufikiria kuwa upinzani naona haufai tena!
CCM wabaki tu!
 
Yani kusema ninalia lia ni kashfa!Nakulilia wewe?
Naomba tusiende huko!
Halafu tatizo ni kwamba WEWE NI KIGEU GEU MNO!
Kwahiyo sasa umeconclude kuwa ni mimi mwenyewe mwenye kuitaka ripoti?

Ukianza kusema kuwa kuna watu wanakuside line, mara kuwa unaandamwa na mengine yote ni vilio tu na hakuna lugha nyingine ya kuelezea hili.

Sijui kama ni wewe mwenyewe unaitaka hiyo report ila najua kitu kimoja kuwa. Mimi ni mmoja wa watu wanaoitaka hiyo report na nimefanya juhudi binafsi kuipata.

Kwa sasa namsubiria aliyeunda hii kamati (Kikwete) atoe hii report na sio kazi yangu kuidai kwa yoyote hapa JF, iwe Zitto au wewe. Nikiona Kikwete anachelewa kuitoa basi nitaidai toka kwake na si vinginevyo.
 
Mpinzani gani usiyetaka mafisadi wawajibishwe?
Mpinzani gani usiyeona umuhimu wa ripori ya ufisadi wa mali za umma ikitolewa?
 
Kwahiyo mafisadi wawajibiswe ama wasiwajibishwe wewe huna noma!
Ama kweli upinzani!
Mi naanza kufikiria kuwa upinzani naona haufai tena!
CCM wabaki tu
!

Haya umeyafikiria leo au ndio ulikuwa unafikiria miaka yote hii? Unaweza tu kudai kuwa ccm wabaki na hayo ni mawazo yako na hakuna mtu atakuua for that.

Mhh yale mambo ya kuvaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu mkubwa!
 
Ukianza kusema kuwa kuna watu wanakuside line, mara kuwa unaandamwa na mengine yote ni vilio tu na hakuna lugha nyingine ya kuelezea hili.

Sijui kama ni wewe mwenyewe unaitaka hiyo report ila najua kitu kimoja kuwa. Mimi ni mmoja wa watu wanaoitaka hiyo report na nimefanya juhudi binafsi kuipata.

Kwa sasa namsubiria aliyeunda hii kamati (Kikwete) atoe hii report na sio kazi yangu kuidai kwa yoyote hapa JF, iwe Zitto au wewe. Nikiona Kikwete anachelewa kuitoa basi nitaidai toka kwake na si vinginevyo.
Hapa sasa inaelekea tunaanza kuelewana!
 
Back
Top Bottom