polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 4,158
- 7,667
Maana nikimwangalia
1. Heche wamoto hawezi kuachea aingie bungeni
2. Halima mdee wamoto hawezi achwa
3. Mwakajoka wamoto
4. Msigwa ndio kabisaaa hawezi achwa aingie bungeni
6. Sugu wamoto
7. Bulaya wamoto
8. Batiko wamoto
9. Lema wamoto
10 . Mbowe wamoto ingawa ana madhaifu yake pia
11.pambalu wamoto sana
12.kishoa wamoto
13 jackob wamoto
14 zitto haaminiki
15 devotha minja wamoto
Yaani wote nikiwaangalia sion wakusema angalau aachwe aingie bungeni hana madhara
Hata huyo wa nkasi naona kafanyiwa veting kabla angalau akaonekana madhara yake sio makubwa sana kama yule wa tanga au Geita.
Wapinzani wananumuhimu kwa sababu bila wao tusinge jua.
EPA, RICHMOND na ufisadi mwingine mwingi upinzani walisaidia sana taifa na ninakumbuka hata fedha za ile RADA zilizo rudishwa upinzani ndio walio liamsha nawaza baada ya kukosa upinzani bungeni tanzania itakuwa ya giza nene.
Na kwa wasio fahamu ni kwamba kuna baadhi ya mambo nyeti ya kifisadi yalikuwa yanapenyezwa na wabunge CCM kwa wabunge wa upinzani ili wayasemee sasa kwa sasa sijui hali itakuwaje nchi yangu hii kwakweli
sina amani na naamini nyuma ya hili la kupukutisha wabunge wa upinzani kuna jambo zito na kubwa linafuata,
Niwasihi wana CCM wenzangu kwa hili kama kweli ni mwana CCM kwa maslahi ya taifa kabisa tuwe na tahadhari nalo sana si lakulifurahia hata kidogo haa kwa yajayo mbeleni huko.