CCM ndo wenye nchi yao Tanzania. Nyie CHADEMA sijui ACT mmeletwa kutufarakanisha tu. Kwanza Wananchi tuliwakataa mwaka 1992 na yumewakataa tena mwaka 2020CCM ni janga la kitaifa.
Hivi mkuu ni kweli ukiwa ccm huwa mnatolewa ubongo? Hizo kura fake kwenye mifuko na mabegi zilizowapa ushindi ccm hukuziona kwa sababu ubongo ulishatolewa?CCM ndo wenye nchi yao Tanzania. Nyie CHADEMA sijui ACT mmeletwa kutufarakanisha tu. Kwanza Wananchi tuliwakataa mwaka 1992 na yumewakataa tena mwaka 2020
Mkuu Sexless ,nitake radhi mimi mpenzi wa tikiti tafadhali.Ongezea Lema, Mbowe, Pambalu, Devotha Minja, etc hakika CHADEMA kuna vichwa. CCM Kuna matikiti