MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Majirani zetu kama Kenya, Uganda, Zambia, DRC na nchi zingine zinazotuzunguka hawatuwezi kabisa kwenye mapishi. Wabongo kwa upishi ni hatari.
Mara zote ninapokuwa nje ya Tanzania huwa ninapata taabu sana kwenye suala la vyakula. Kwa mfano Zambia ni jipu. Huko Zambia wanajua ugali tu. Vitu kama pilau, biriani, chapati ni adimu. Wanaoweza kupika hizo wanajipigia tu hela.
Suala la ushonaji pia ni hot cake. Ninawasihi vijana wenye ujuzi na hizo fani wasisite kuvuka mipaka na kujitafutia malisho kama Tanzania pagumu. Mtanzania akichukua alichofundishwa nyumbani kwao akaijiongezea na ujuzi wake mdogo atakuwa hatari kwenye upishi.