MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kwani mkuu uki-comment bila kutumia lugha ya kuudhi utapungukiwa nini? Kuhusu wewe kutokuwa mtoto wa kiongozi wa CCM walaumu babako na mamako. Walioana wote maskini wakazaa maskini wa akili ambaye ni wewe.Hujui chochote,
Wanaojua hayo mapishi ya kujaza viungo wako pwani na hawajawahi kufikiria kutoka nje ya nchi.
Pia tunataka wototo wa viongozi wa CCM nao waingie kwenye sekta ya mama ntilie na ushonaji reja reja.
Ndugu unaweza tumia lugha ya kistaarabu kutoa maoni. Sio lazima watu wote wajue wewe ni punguani.Mwambie shemej akifungulie mgahawa uwe mama ntilie
Hatuwezi kuwa sawa mkuu.Wakati yote unashauri haya wewe upo ofsini unakula feni na upepo wa kisulisuli.
Watu wa pwani sio tu kutoka nnje ya nchi , hata kutoka kwenda mikoa mingine tu bado hawajafikiria.Hujui chochote,
Wanaojua hayo mapishi ya kujaza viungo wako pwani na hawajawahi kufikiria kutoka nje ya nchi.
Pia tunataka wototo wa viongozi wa CCM nao waingie kwenye sekta ya mama ntilie na ushonaji reja reja.
Wamekuja baadhi yao wana hasira balaa. Wananishambulia..Ngoja waje
Ukiwa mdau wa mitandao tegemea yote , kila mtu anatoa maoni kwa mudi aliyokuwa nayo.Wamekuja baadhi yao wana hasira balaa. Wananishambulia..
Watu wa Pwani wa mikoa ya Lindi, Mtwara na Tanga malengo yao makubwa ya kusafiri ni kufika Dar tu.Watu wa pwani sio tu kutoka nnje ya nchi , hata kutoka kwenda mikoa mingine tu bado hawajafikiria.
moroWatu wa Pwani wa mikoa ya Lindi, Mtwara na Tanga malengo yao makubwa ya kusafiri ni kufika Dar tu.