jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Inaelekea kuna mkakati maalumu wa wapinzani wa CCM kutaka kuwagonganisha vichwa wanaCCM mara baada ya kuona Rais Samia aneingia madarakani kwa njia ya amani.
Ni muhimu kuwakumbusha wapinzani kuwa CCM is there to exist till the true development of Tanzania is achieved.
CCM na Serikali yake inaenenda kwakufuata ilani yake sio zaidi ya hapo.
wanafiki wote wanajulikana na Wazalendo wanatambulika.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
#Kaziinaendelea