Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Kama upo real njoo pm kuna biashara nataka kuifanya pale nimeona fursa njoo unisaidie uzoefu wa maeneo hayo bado sijamaliza market assessment nahisi waweza kuwa mmoja ya mate wanguKwamtogole, Dar
Yaani wewe haupo mtwara sister!Ndio Ntwara huko
Napita tu!MCHAMBA WIMA
Karibui,Michenzani jumba # 5, tobo la PiliMjini Magharibu Bumbwini
Unafanya nini huko Nshamba interior 😳😳
Wooow!...umeonaje hiyo greenish? Pana chezea!Kuna jamaa anataka kuniuzia shamba kule Ibare asee huku ni greenish ya kufa mtu.
Habari wadau,
JF member ebu sema ni mkoa gani unapatikana kwa sasa labda upo hapo kikazi au labda ndio umezaliwa hapo na kukulia hapo au labda upo hapo kwa kusafisha macho kwa muda tu!
Mimi kwasasa nipo dar hapa nimekuja kumsalimu bro wangu, nakata matonge ya bure mwezi wa nne huu sasa! nikaribisheni Dar jamani,
Goma hiyonipo kivu ya kaskazini
hahah! masihara, wamekuteka niniSahizi hata sijui niko wapi....
Sijatekwa ila hapa mahali nilipo mpaka dakika hii sijui ni wapi ntawauliza vizuri wenyeji wangu wakitoka kwenye mapumziko yao.hahah! masihara, wamekuteka nini
'Me' kwani vipi mkuuKe au Me?