Upo mkoa gani?

Upo mkoa gani?

Kwamtogole, Dar
Kama upo real njoo pm kuna biashara nataka kuifanya pale nimeona fursa njoo unisaidie uzoefu wa maeneo hayo bado sijamaliza market assessment nahisi waweza kuwa mmoja ya mate wangu
 
Texas
IMG-20181011-WA0018.jpg
 
Habari wadau,
JF member ebu sema ni mkoa gani unapatikana kwa sasa labda upo hapo kikazi au labda ndio umezaliwa hapo na kukulia hapo au labda upo hapo kwa kusafisha macho kwa muda tu!

Mimi kwasasa nipo dar hapa nimekuja kumsalimu bro wangu, nakata matonge ya bure mwezi wa nne huu sasa! nikaribisheni Dar jamani,

Hahahahaha umenichekesha sana🤣🤣
 
Back
Top Bottom