Upo online lakini unatafuta uzi wa kuchangia haupati?

Upo online lakini unatafuta uzi wa kuchangia haupati?

Tanga, dar, moshi, arusha, zanzibar
mbona bado haujatembea sasa...

mie nimezaliwa Arusha...nikaoa Tanga, nikaishi Dar, nikapata shemeji Zanzibar, mchepuko wa Moshi tulishaachana jana...

jitahidi utembee kama unapenda kusafiri.
 
Back
Top Bottom