Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 3,474
- 3,744
Bila shaka ww ndo kipofu1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.
Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? π€
Spinning Propaganda ili "kufubaza makali" ya Mjadala wa Maasai wa Ngorongoro.1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.
Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? π€
Father campaign manager CHADEMA 2020.Wewe ndiyo empty head kabisa. Kwa hiyo kwa sababu kuna Mapadri wachache waovu, ndiyo kumfanye huyo Padri Kitima asiyakemee maovu yenu!!
NipeUna ufahamu wa Sheria kweli? Kama hapana nakusamehe ila najua unafahamu. Ukitaka nitakupa vifungu
Leo ndio nimejua ni ajira. Asant.Issue kuanza ujenzi upya na ya ngorongoro watayafanyaje
Ujue hapo kulikuwa na ajira za watu misheni,parokia nk hao ajira zao zinakuwaje na pesa ilikuwa inaingia jimbo nk
Na wewe upunguani ulio nao, hakika unasubiri tu hukumu dhidi ya shetani.1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.
Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? π€
Padri Katima yuko sahihi nchi ni mbaya kuishi kwa sababu wenye dhamana ya kushughulikia hayo mambo uliyotaja wamelala wanasubiri Chadema wafanye mkutano ndipo waamke1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.
Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? π€
Madaraka ya kumchagulia yeye cha kusemea wewe umeyatoa wapi?1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.
Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? π€
Pamoja na tuhuma ulizoorodhesha hapo juu (zaweza kuwa kweli au siyo kweli), ni muhimu kujua kwamba, kosa moja halihalalishi jingine.1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.
Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? π€
Father Kitima ni campaign manager wa Lissu mwaka 2020 ni mwanasiasa na hayati JPM baada ya kumjua akamchinjia baharini.This kind of reasoning is regression. Ni kama kusema kwa vile x aliiba hukusema, y ameiba, naye usiseme. Au kama ulishindwa kumtibu mgonjwa p, kwa vile s ni mgonjwa naye usimtibu. Kwanza una uhakika gani kwamba hajakemea? Pili, tuseme kwamba hakukemea, unamaanisha maisha yake yote asikemee akiona mambo hayaendi au tuseme asikosoe jambo ambalo anaona halijafanyika vizuri? Kwa maneno mengine, Dr Kitima hana haki tena ya kukosoa au kutaka jambo lolote analoona halijafanyika vizuri lisifanywe vizuri/lisiboreshwe? Kwa nini? Sababu yake ni kwamba hujamsikia akikosoa Padri Elipidius Rwegoshora kutuhumiwa kushiriki kumuua mtoto mwenye albnism na tuhuma nyingine unazotoa. Sasa wewe unayemkosoa, tuonyeshe pia wapi ulimkosoa Fr Elipidius Rwegoshora, Padri wa Bunda kuwaibia masista, na Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kulawiti. Au wewe una haki ya kumkosoa Fr Kitima kama hujawakosoa hao wengine unaodai Fr Kitima hakuwakosoa? Nasubiri majibu ili kujiridhisha jinsi ulivyo 'consequent' na usiye na upofu kama Fr Kitima.
Tuseme unavyosema ni kweli, kama alikuwa campaign manager wa Tundu Lissu mwaka 2020, kuwa campaign manager ndiko kunakotoa zuio la kukosoa issue yoyote nchini Tanzania au ni issue ya Ngorongoro tu?Father Kitima ni campaign manager wa Lissu mwaka 2020 ni mwanasiasa na hayati JPM baada ya kumjua akamchinjia baharini.
Samia amekuja na uungwana wa kizenji anaruhusu demokrasia kadri iwezekanavyo ndio huyu Padre amerudi kwa kasi kuipinga serikali na mengi yanayofanyika. Ni mpinzani japo sio dhambi kwa mtu kwani anao uhuru wake wa kiraia.
Fitina yake ya kutaka DPW washindwe kuwekeza kwa kigezo cha bandari yetu tuendeshe wenyewe kilishindwa mbele ya serikali ya awamu ya sita. Binadamu wote wamepungukiwa kwa namna mmoja ama nyingine na huyu Father pia kapungukiwa.
Mpinzani huyo.Tuseme unavyosema ni kweli, kama alikuwa campaign manager wa Tundu Lissu mwaka 2020, kuwa campaign manager ndiko kunakotoa zuio la kukosoa issue yeyote nchini Tanzania au ni issue ya Ngorongoro tu?
Kwani hao walichukuliwa hatua au?Jibu hoja zake kwanza. Hayo mambo mengine Kanisa katoliki lina namna ya kuyasolve ndani ya majimbo yao.
Huyu ni katibu wa baraza maaskofu anawakilisha maaskofu Taifa.
Hayo ya mapadre individual ni ya maaskofu wa majimbo husika na wanajua jinsi ya kuyasolve.
Kanisa ni moja takatifu katoliki na mitumee
Haikusadii kitu wewe ni MJINGA na MPUMBAVU, mambo hayo hayawezi kutumika kuharalisha MAMBO BYA KISHENZI yanayohusu jumuiya ya watu wengi, wakiwemo wazeee, watoto, akina mama kukiuka haki zao za msingi zikiwemo social basic needs ,na civil rights za kupiga kura, kuishi mahali Pao pa asili ambapo walikuwepo kabla hata Tanganyika kupata uhuru.1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.
2. Padri Bunda anaibia masista wa raia wa Kihispania kwenda kufungua baa na kamari, ila Padri Charles Kitima haoni kukemea anaona Wamasai Ngorongoro.
3. Padri Stanslaus Sala wa Jimbo la Moshi kalawiti hujamuona ila unaona nchi imekuwa mbaya kuishi.
Huu upofu wako mtumishi wa kanisa ni wa asili, wa ukubwani au wa kuamua au wa kulipiwa? π€
Hayo yote unayoyasema yako kwenye vyombo vya usalama. Ila Wamasai wao ni kinyume. Vyombo vya ulinzi na Usalama ndiyo wanawaowanyanyasa.1. Padri Elipidius Rwegoshora wa Bukoba kashiriki kumuua Albino, Padri Charles Kitima hajamuona ila anaona Wamasai Ngorongoro.