Yani siku taifa likipata viongozi wa dini kama hawa watano tu nchi itarudi kwenye misingi maana moja ya wajibu wa viongozi wa dini ni kukemea, kuonya, na kukosoa inapobidi, maana huwezi kuwa unawaomba waliombee taifa tu wakati taifa linapogawanyika kwa masilahi ya watu wachache wakae kimya tu kisa watumishi wa Mungu, Mungu gani huyo? Na nyie vijana wa namna hii ni bora mkarudi zanzibar kwenu huko walikopitisha sheria ya kuua mila na desturi ya masai ya kutembea na silaa zao za jadi kama culture symbol yao, kuliko kutaka kutuletea machafuko Tanganyika yetu kwa misingi ya uwekezaji haramu usioheshimu uwepo wa rasilimali watu na asili yao, huu ni ukoloni mambo leo unaolenga kunyanyasa tamaduni zenye nguvu zilizobaki afrika na kuendekeza ubaguzi wa kikanda 🚮😏