Uponye moyo. Hivi ni nani aliwahi kukukataa humu JF?

Uponye moyo. Hivi ni nani aliwahi kukukataa humu JF?

Huko piemuniii umepigwa cha mbavu na wangapi?๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… paka sasa ni 11 ... nimchoka na kujichokea sifatagi tena mtu PM... nimekubaliana na hali... mtu unakuta una muomba hata muone tu hatakii...
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… paka sasa ni 11 ... nimchoka na kujichokea sifatagi tena mtu PM... nimekubaliana na hali... mtu unakuta una muomba hata muone tu hatakii...
Sema kuna vidume sijui ni Utoto au ni ujinga mtu anakuja pm anakuachia namba kisha anaandika nitafute Nuzulati๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Unabaki unajiuliza ananichukuliaje huyu kima๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™€๏ธ
 
Sema kuna vidume sijui ni Utoto au ni ujinga mtu anakuja pm anakuachia namba kisha anaandika nitafute Nuzulati๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Unabaki unajiuliza ananichukuliaje huyu kima๐Ÿคท๐Ÿผโ€โ™€๏ธ
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… wanajaribia bahati zao.. amini kuna wadada wakikuta namba wana ruka hewani...
 
[emoji28][emoji28][emoji28] katika PM zangu 11... zote majibu ni hasi... mitoso 11 mitongozo 11

mitongozo ya wazi wazi mitano matokeo hasi mitano...

moyo usivuje damu.. moyo kubali matokeo... moyo kubali kutoswaaa... moyo vumilia [emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23]
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… katika PM zangu 11... zote majibu ni hasi... mitoso 11 mitongozo 11

mitongozo ya wazi wazi mitano matokeo hasi mitano...

moyo usivuje damu.. moyo kubali matokeo... moyo kubali kutoswaaa... moyo vumilia ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ‘‹
 
Back
Top Bottom