Uponye moyo. Hivi ni nani aliwahi kukukataa humu JF?

Huko piemuniii umepigwa cha mbavu na wangapi?πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… paka sasa ni 11 ... nimchoka na kujichokea sifatagi tena mtu PM... nimekubaliana na hali... mtu unakuta una muomba hata muone tu hatakii...
 
Sema kuna vidume sijui ni Utoto au ni ujinga mtu anakuja pm anakuachia namba kisha anaandika nitafute NuzulatiπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Unabaki unajiuliza ananichukuliaje huyu kimaπŸ€·πŸΌβ€β™€οΈ
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… wanajaribia bahati zao.. amini kuna wadada wakikuta namba wana ruka hewani...
 
[emoji23][emoji23]
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…