Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
avatar nzuri, siogopi tena nakuja pm
Watu mpo haraka sana [emoji28][emoji28]
Sipati picha Kama mmeinyaka avatar niliyokosea [emoji28][emoji28][emoji119]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
avatar nzuri, siogopi tena nakuja pm
Binafsi naona shida haswa kupata mwitikio hasi, mybe nijaribuUnazama tu mkuu Kwani kuna shida gani?
Kuba smoke yule 🤣🤣🤣Crush wako SI mzee wa ruzuku 😂😂
Mi nimeona, galfa ikawa hii tena.Watu mpo haraka sana [emoji28][emoji28]
Sipati picha Kama mmeinyaka avatar niliyokosea [emoji28][emoji28][emoji119]
Binafsi naona shida haswa kupata mwitikio hasi, mybe nijaribu
Mi nimeona, galfa ikawa hii tena.
[emoji1787] hahaNipe Jina
Nakusaidia na I’d yangu ya kiumeni
Mambo yakiitika nampatia namba yako
Mchezo umeisha
Haha, sifanyagi hivi kwa kweli.Picha limeshaungua
Hope hauna screenshot
oyaaa umeoma mwambaaa 😅😅😅 yeye hajali..yupo site yupo site chuma ikifa atavuta ingineKuba smoke yule 🤣🤣🤣
Anaipigiza off road gari ya kumenyea maisha. Hayupo seriaz 😀oyaaa umeoma mwambaaa 😅😅😅 yeye hajali..yupo site yupo site chuma ikifa atavuta ingineView attachment 2698265
Ulie sema kipindi kile ana umwa??, Jukwaa la siku wa mananeHamna noma.
Dogo yupi brother?
Ohhh, muda mrefu hivyo?Ulie sema kipindi kile ana umwa??, Jukwaa la siku wa manane
Quite good, Afu SI Una jua jukwaa kubwa😁😁.Ohhh, muda mrefu hivyo?
Ndio bwana its kwa sasa.
How is your day today?
Hakika.Quite good, Afu SI Una jua jukwaa kubwa[emoji16][emoji16].
[emoji117]una zunguka hata mwaka, huja Muina mtu[emoji23][emoji23]
Upooo na utazidi kuwepo, sema sikumbuki ni page ipi😁Hakika.
Hivi uzi ule bado upoo?
Nauliza uzi wa usiku kama bado upo maana muda sana sijaufungua.Upooo na utazidi kuwepo, sema sikumbuki ni page ipi[emoji16]
Upo nenda jf chit chat, Kisha utauona😁Nauliza uzi wa usiku kama bado upo maana muda sana sijaufungua.
Nitakua mgeni wenu leo usiku!Upo nenda jf chit chat, Kisha utauona[emoji16]
Ewaaa 😁😁😁, lindo lipo tuNitakua mgeni wenu leo usiku!