Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oya jibu Basi pm yangu 😜
Nimejibu tayari😍Oya jibu Basi pm yangu 😜
Sema hiyo avatar, Kama ya mganga wa kienyeji😂😂Nimesema kwa wingi
Wanajifahamu wanaobadili ID
Wewe endelea na favorite wako
Sikuona vile😂😂😂Nimejibu tayari😍
Chungulia vizuri😉Sikuona vile😂😂😂
Ume andika nini😜Chungulia vizuri😉
Ndio maana ikaitwa “Private message” unataka nianike hadharani🚮?Ume andika nini😜
Hili tatizo limekuwa sugu inabidi tuitishe mkutano ili tujadili yaani wanaboa kichenziiii😬Hivi kwa nini mnakuja PM na ID tofauti?
Mnanipa tabu
Kukutumia pm zaidi ya 300, Leo hii naboa😃😁😁Hili tatizo limekuwa sugu inabidi tuitishe mkutano ili tujadili yaani wanaboa kichenziiii😬
Sema hiyo avatar, Kama ya mganga wa kienyeji[emoji23][emoji23]
Tatizo kutokujiamini au kuogopa kufukuliwa makaburi image mtu anajiunga leo Jf kisha yuko pm anakusemesha 😁😁Kukutumia pm zaidi ya 300, Leo hii naboa😃😁😁
Ko mi niji amini ehhh😃, halafu uka nipige Cha ubavu😂😂Tatizo kutokujiamini au kuogopa kufukuliwa makaburi image mtu anajiunga leo Jf kisha yuko pm anakusemesha 😁😁
Ina tishaa😂😂😂, ka sanamu la ibilisi😃Ila mnaiandama avatar Yangu jamani [emoji31]
Nilitaka kuku tag, hope uko POA mkuu??I wish siku nizame kwenye pm ya mtu, ila ngumu kidogo, from no where una mpm mtu ! Vilinishinda kwa kweli.