Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #421
Acha ukiherehere, kitabu kina itwa intelligent investor by ben pimbi we😂😂 Mpaji Mungu na kitabu kina miaka Kenda😂🙄.Binafsi nlijuaga ni mtu Moja mtabe sana🤔🤔maana hicho kitabu nlisoma 2022 kina tips za maana kinoma! Mwenye ID ndo hvo tena lomoni mingi
👉Oy mshamba_hachekwi ona hi nyuki 😂😂