avatar nzuri, siogopi tena nakuja pm
Binafsi naona shida haswa kupata mwitikio hasi, mybe nijaribuUnazama tu mkuu Kwani kuna shida gani?
Kuba smoke yule ๐คฃ๐คฃ๐คฃCrush wako SI mzee wa ruzuku ๐๐
Mi nimeona, galfa ikawa hii tena.Watu mpo haraka sana [emoji28][emoji28]
Sipati picha Kama mmeinyaka avatar niliyokosea [emoji28][emoji28][emoji119]
Binafsi naona shida haswa kupata mwitikio hasi, mybe nijaribu
Mi nimeona, galfa ikawa hii tena.
[emoji1787] hahaNipe Jina
Nakusaidia na Iโd yangu ya kiumeni
Mambo yakiitika nampatia namba yako
Mchezo umeisha
Haha, sifanyagi hivi kwa kweli.Picha limeshaungua
Hope hauna screenshot
oyaaa umeoma mwambaaa ๐ ๐ ๐ yeye hajali..yupo site yupo site chuma ikifa atavuta ingineKuba smoke yule ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Anaipigiza off road gari ya kumenyea maisha. Hayupo seriaz ๐oyaaa umeoma mwambaaa ๐ ๐ ๐ yeye hajali..yupo site yupo site chuma ikifa atavuta ingineView attachment 2698265
Ulie sema kipindi kile ana umwa??, Jukwaa la siku wa mananeHamna noma.
Dogo yupi brother?
Ohhh, muda mrefu hivyo?Ulie sema kipindi kile ana umwa??, Jukwaa la siku wa manane
Quite good, Afu SI Una jua jukwaa kubwa๐๐.Ohhh, muda mrefu hivyo?
Ndio bwana its kwa sasa.
How is your day today?
Hakika.Quite good, Afu SI Una jua jukwaa kubwa[emoji16][emoji16].
[emoji117]una zunguka hata mwaka, huja Muina mtu[emoji23][emoji23]
Upooo na utazidi kuwepo, sema sikumbuki ni page ipi๐Hakika.
Hivi uzi ule bado upoo?
Nauliza uzi wa usiku kama bado upo maana muda sana sijaufungua.Upooo na utazidi kuwepo, sema sikumbuki ni page ipi[emoji16]
Upo nenda jf chit chat, Kisha utauona๐Nauliza uzi wa usiku kama bado upo maana muda sana sijaufungua.
Nitakua mgeni wenu leo usiku!Upo nenda jf chit chat, Kisha utauona[emoji16]
Ewaaa ๐๐๐, lindo lipo tuNitakua mgeni wenu leo usiku!